Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,440
Hivi na wao huwa wanakuja kutuaga?
Waafrika huwa wanakuja ila sio wazungu. Sam Nujoma wa Namibia alikuja kuaga na kushukuru mwa malezi yetu wakati wa kupigania uhuru wa nchi yao
Hivi na wao huwa wanakuja kutuaga?
Rais Wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete amezuiliwa kuingia Denmark kutokana na vuguvugu la uchaguzi nchini humo baada ya kubainika kuwepo kwake kungempa nafasi zaidi ya kuonekana waziri mkuu Wa sasa kitendo kilichotafsirika Kama kumpigia kampeni.
RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga washirika wa mandeleo katika nchi za Scandinavia, amekataliwa kuingia Denmark kwa madai kuwa ziara yake itatumika kisiasa kumnufaisha Waziri Mkuu wa sasa wa Denmark.
Nchi hiyo inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wiki ijayo. Zuio hilo limekuja baada ya vyombo vya habari na vyama vya siasa kudai kuwa ziara hiyo ingetumika kumnufaisha Waziri Mkuu aliyepo kwa kumpa muda wa ziada mbele ya vyombo hivyo wakati huu wa kampeni.
Vyama vyote vya kisiasa vinapata muda sawa mbele ya vyombo vya habari na kwa hiyo uwepo wa Rais Kikwete nchini Denmark ungesababsha Waziri Mkuu aliyepo madarani kuonekana mara nyingi akimpokea mgeni wake.
Rais Kikwete hivi karibuni amefanya ziara katika nchi za Finland, Sweden, Uholanzi ikiwa ni sehemu ya kuaga kutokana na muda wake wa kuwa madarakani kufikia ukingoni.
MY TAKE:
Vyombo vya habari hapa kwetu vijifunze kutoka kwa Wenzetu viache ushabiki na viweke mizani sawa kwa wagombea na vyama vyote.....
Sasa wewe inakuuma nini? Na wewe kamlete mjapan kwenuHuku watangaza nia wanaleta viongozi wa nchi jirani.
Si unakumbuka pia çcm waliwahi kumleta Mchina jukwaani
Wewe ndo Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka utoe hiyo taarifa? Acha kupotosha watu bhana, hiyo taarifa siyo ya kweli, acha kunywa viroba ukaamza kuota mchana mchana kweupeeee!Rais Wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete amezuiliwa kuingia Denmark kutokana na vuguvugu la uchaguzi nchini humo baada ya kubainika kuwepo kwake kungempa nafasi zaidi ya kuonekana waziri mkuu Wa sasa kitendo kilichotafsirika Kama kumpigia kampeni.
RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga washirika wa mandeleo katika nchi za Scandinavia, amekataliwa kuingia Denmark kwa madai kuwa ziara yake itatumika kisiasa kumnufaisha Waziri Mkuu wa sasa wa Denmark.
Nchi hiyo inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wiki ijayo. Zuio hilo limekuja baada ya vyombo vya habari na vyama vya siasa kudai kuwa ziara hiyo ingetumika kumnufaisha Waziri Mkuu aliyepo kwa kumpa muda wa ziada mbele ya vyombo hivyo wakati huu wa kampeni.
Vyama vyote vya kisiasa vinapata muda sawa mbele ya vyombo vya habari na kwa hiyo uwepo wa Rais Kikwete nchini Denmark ungesababsha Waziri Mkuu aliyepo madarani kuonekana mara nyingi akimpokea mgeni wake.
Rais Kikwete hivi karibuni amefanya ziara katika nchi za Finland, Sweden, Uholanzi ikiwa ni sehemu ya kuaga kutokana na muda wake wa kuwa madarakani kufikia ukingoni.
MY TAKE:
Vyombo vya habari hapa kwetu vijifunze kutoka kwa Wenzetu viache ushabiki na viweke mizani sawa kwa wagombea na vyama vyote.....
Wewe ndo Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka utoe hiyo taarifa? Acha kupotosha watu bhana, hiyo taarifa siyo ya kweli, acha kunywa viroba ukaamza kuota mchana mchana kweupeeee!
Hakuwa na mualiko??!!!
Huzijui kazi zangu wee
Rais Wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete amezuiliwa kuingia Denmark kutokana na vuguvugu la uchaguzi nchini humo baada ya kubainika kuwepo kwake kungempa nafasi zaidi ya kuonekana waziri mkuu Wa sasa kitendo kilichotafsirika Kama kumpigia kampeni.
RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga washirika wa mandeleo katika nchi za Scandinavia, amekataliwa kuingia Denmark kwa madai kuwa ziara yake itatumika kisiasa kumnufaisha Waziri Mkuu wa sasa wa Denmark.
Nchi hiyo inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wiki ijayo. Zuio hilo limekuja baada ya vyombo vya habari na vyama vya siasa kudai kuwa ziara hiyo ingetumika kumnufaisha Waziri Mkuu aliyepo kwa kumpa muda wa ziada mbele ya vyombo hivyo wakati huu wa kampeni.
Vyama vyote vya kisiasa vinapata muda sawa mbele ya vyombo vya habari na kwa hiyo uwepo wa Rais Kikwete nchini Denmark ungesababsha Waziri Mkuu aliyepo madarani kuonekana mara nyingi akimpokea mgeni wake.
Rais Kikwete hivi karibuni amefanya ziara katika nchi za Finland, Sweden, Uholanzi ikiwa ni sehemu ya kuaga kutokana na muda wake wa kuwa madarakani kufikia ukingoni.
MY TAKE:
Vyombo vya habari hapa kwetu vijifunze kutoka kwa Wenzetu viache ushabiki na viweke mizani sawa kwa wagombea na vyama vyote.....
Mkuu Rais Wa nchi halazimiki kuwa na mwaliko pia ziara hii ni yeye ndo kajipeleka ati kuwaaga wahisani wetu....
So hakuitwa kaenda mwenyewe kwa mapenzi yake.....
Na kweli, naona wamemchoka, kila siku hodi!Naendelea kuona maajabu ya Jk, hivi kweli ni lazima kuzunguka duniani nzima kwenda 'kuaga'?Hakuwa na mualiko huyu anapenda kweli kwenda kwa watu..yaani huyu akiona wazungu anaweza kuwafuata nyuma nyuma mpaka wanaingia kwao ..anapenda kweli wazungu..hana muda wa kusimamia chama mpaka wauza madafu wanachukua fomu kugombea urais wa chama chake
MView attachment 259085