Sijui ziara za kuzungukia mikoa kwaajili ya kuaga ataanza lini....
Hapa kwetu mbona TeamLowassa ndio wanapewa coverage na vyombo vyote tena kwa heading za kutisha !?.
Magazeti 'pendwa' pekee ya Shigongo ndio nayaona yanatembeza 'vijembe' kwa Team hiyo !
Wahariri wetu wanatia aibu Sana!
Sasa unaniuliza Mimi ili iwdje? mi nimetoa ushauri kwa vyote visitoe coverage kwa upendeleo!!!
KENGE kweli wewe wivu wanini sasa? unauliza then Una conclude mwenyewe kabla ya jibu Una shida ktk ubongo wako.
Hakuwa na mualiko??!!!
Kwani yeye JK hakujua kuwa hao wazungu wanafanya uchaguzi week ijayo? na washauri wake wanafanya kazi gani na intelijensia yao ikoje?
Hawa viongozi na watu wa CCM vipi? wanadhani kila kitu hapa duniani ni kufanya kienyeji tu hadi nchi za wenye akili kama wanavyovuruga hapa Tanzania na wanaachiwa tuu! Ni ishara nyingine ya 'poor coordination' ktk protocal za utawala wa CCM.
Siku zinakuja...Oktoba CCM mkeshang'olewa itakuwa fundisho na taifa hili litarudi ktk mstari wake! No more of this careless mess!!
Hivi na wao huwa wanakuja kutuaga?
Alipoingia madarakani alianza ziara za kujitambulisha. Sasa ana ziara za kuagaSidhani kama kuna rais aliyepiga per diem za kutosha kuliko huyu! Yaani hawa wadau wa maendeleo waliokwamisha kutekelezwa kwa bajeti juzi, leo anazunguka kuwaaga wakati juzijuzi kasema nchi ina heshima yake na haiwezi kubabaishwa na wafadhili!?
Huku ni kutalii tu na kufuja pesa za umma. Hawa wafadhili kwasasa hawana interest na JK. Macho yao yote yapo kwa rais ajaye. Kwanini anapoteza pesa bure kwa ziara zisizo na sababu wala maslahi kwa taifa? Kwani hawezi kuaga kupitia mabalozi au njia zingine za mawasiliano? Aibu yetu hii sisi ngozi nyeusi.
Alipoingia madarakani alianza ziara za kujitambulisha. Sasa ana ziara za kuaga
Utamaduni huu haukuwepo kwa marais waliotangulia, na wala marais wa nchi jirani na kwingineko hawana muda wa kupoteza namna hii
Kesho tunalalamika Kenyatta anafanya mambo! Yes, katulia na anafikiri namna ya kutumia resource za nchi yake. Hivi unakwendaje kushukuru kwa kupitisha bakuli!
Inasikitisha sana!