Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Mafaili gani wewe? na hao watangaza kura wote wanajulikana na wengi kama si wote yeye ndiyo bosi wao kwa sasa, labda atokee asiyejulikana.

Hata iwe kuna mafaili, hivi mnafikiri siku hizi bado watu wanakimbizana na mafaili ya makaratasi? Ofisi sasa hivi ni popote.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Issue ni kwamba mkuu wetu hana kazi za msingi hapa nyumbani mpaka aanze kuzurura kwenye nchi za watu kuaga? Ona sasa aibu hii sio kwake tu na hata kwetu wananchi maana wengine tuna marafiki raia wa Denmark, watajiuliza hii nchi ya watu wa aina gani? Maana kiongozi wetu yeye ni kutembea tu kwa watu eti anaaga. Mungu atusaidie
 
Wabongo wanakurupuka aisee. Cameroon yeye amecancell

Yaani huyo mpuuzi ameshindwa kutofautisha kukatisha ziara na kuzuiliwa!!!

JK toka anaondoka hapa home alipanga kuitembelea DK na watanzania Wa huko walitangaziwa wajiandae kukutana naye na ghafla wakaambiwa hatokwenda tena!!!
 
Huyo ajuza hakuelewi kitu hapo...

huyu bibi ni mkwere original,wenyewe kula,kucheza ngoma basi mambo mengine hawajui.Huyu kiwete yeye anaona poa kushinda anazunguku kwenye nchi za watu
 
Wenzake akili zao ziko kwenye uchaguzi yeye analeta habari za kuagana? Si angeenda kuaga ubalozini? Au alikuwa hana taarifa kwambwa wenzake wako kwenye uchaguzi? Too low of Him...
 
Mkuu wacha unafiki na umbea sio Kikwete tu aliyezuiliwa kuingia hapa Danmark hata waziri mkuu wa uingereza amezuiliwa pia na ni kutokana na uchaguzi ambao unatazamiwa kufanyika mapema wiki ijayo

Wewe naona iq yako ina matatizo,sisi ni watanzania na tunaongelea issue ya rais wetu watanzania,wewe unatuletea habari za waziri wa uingereza anatuhusu nini sisi?
 
Wewe naona iq yako ina matatizo,sisi ni watanzania na tunaongelea issue ya rais wetu watanzania,wewe unatuletea habari za waziri wa uingereza anatuhusu nini sisi?

Mjinga Sana huyo kima...
 
Mkuu wacha unafiki na umbea sio Kikwete tu aliyezuiliwa kuingia hapa Danmark hata waziri mkuu wa uingereza amezuiliwa pia na ni kutokana na uchaguzi ambao unatazamiwa kufanyika mapema wiki ijayo

unajua maana ya umbea na unafiki? kwa kuwa waziri mkuu wa uingereza kazuiwa kwa hiyo inabadilisha maana ya neno kuzuiwa? Au ulitaka nijue uko Denmark! Au mleta mada kasema kazuiwa sababu gani na ww unasema sababu ipi? poooooovu tu.
 
Kwanza waziri mkuu Wa Uingereza ame cancel Hugo wetu amezuiwa.
 
Kwanza waziri mkuu Wa Uingereza ame cancel Hugo wetu amezuiwa.

Mkuu hii ndio itupe fundisho kuwa bunge letu linatunika vibaya kwa wingi wa wabunge wa ccm kupinga kila kitu kinachopelekwa bungeni na upinzani,kwani wapinzani walisha hoji sana juu ya safari za kikweete,walihoji wakaonekana ni wajinga lkn leo hii aibu ni kwa taifa zima including ccm MPs.
 
Kwanza waziri mkuu Wa Uingereza ame cancel Hugo wetu amezuiwa.

Anaona aibu huyo kiongozi wake kaaibika, anajidai kumsafisha hao ndio wale wanaoishi nje ya nchi kwa kuvaa sare za ccm wakingojea kupiga picha na viongozi wanapotembelea ughaibuni, posho imeota mbawa ndio maana jamaa kachanganyikiwa.
 
Hakika hii ni aibu na fedheha kubwa, sasa alienda kuaga Denmark ili iweje jamani? Kweli Tazama ramani utaona nchi ya ajabu na kushangaza ambayo ni Tanzania.
 
Back
Top Bottom