Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Unajuwa maana ya "kuzuiliwa kuingia"?

Punguani wahed.

Acha upumbavu na kupotezea watu muda we kikongwe....

Kuzuiliwa kuingia lazima iwe airport? Wakisema usije sasa njoo December ni kuzuiliwa usiwe airport?

Kwani tunapoomba visa tunaomba kuingia au kutoka??

Acha ujinga wewe
 
Hapo sitetei, nnatowa darsa.

Punguani wahed.

Mtoto wa Kike Hatukani.

Wako wapi sasa wale watoa makanusho? si waje sasa waelezee hii mambo kabla haijawa mbaya.
Tafadhalini waambieni bwana.
 
Kama kilichompeleka huko ni hiki bora wamzuie tu! Anatia kinyaa na hasira kama anadiriki kutumia fedha za walipa kodi na misaada anayopewa kwenda kupokea zawadi ya sahani. Ama kweli Prof. Dr. tunaye...

Kwani Membe anakazi gani??
Kazi ya Balozi ni nini? Na Membe naye Nini? huwa na mwona kule bungeni membe akiomba hela za wizara kazi yake nini.

Hii picha Blaza kapiga akiwa wapi? siyo harusi ya Riz1 kweli hii?????
 
Mtoto wa Kike Hatukani.

Wako wapi sasa wale watoa makanusho? si waje sasa waelezee hii mambo kabla haijawa mbaya.
Tafadhalini waambieni bwana.

Hujatukanwa hali hiyo, jee, ukitukanwa si utasema umepigwa jiwe la kichwa.

Kukanusha huu uzushi wa mleta mada? Hilo jileta mada mbona linajulikana humu kwa porojo.
 
Hujatukanwa hali hiyo, jee, ukitukanwa si utasema umepigwa jiwe la kichwa.

Kukanusha huu uzushi wa mleta mada? Hilo jileta mada mbona linajulikana humu kwa porojo.

Rekebisha kidogo sema Hajatukanwa maana sii mimi.
Hao wa huko ofisini wakae kwenye TV watoe ufafanuzi ieleweke.
 
Aisee nimevutiwa Sana na demokrasia za Wenzetu zilivyo na usawa....

ingekua hapa waziri mkuu au Rais aliyepo madarakani ambaye naye ni mgombea atafanya manyanga yote kwa kofia ya urais licha ya kwamba inampa favour kuliko wenzie....

Angalia TBC1 inavyotoa airtime kwa CCM kuliko vyama vingine ingawa inaendeshwa kwa kodi zetu sote....

Just for your info.

TBC sio chombo cha habari cha umma (Public servicebroadcaster) bali ni chombo cha habari cha serikali (State Owned broadcaster).Hii ndio sababu inapigia debe serikali iliyopo madarakanai na chama tawala nasio walipa kodi ambao ndio Umma wa watanzania.

Wajumbe wa Bunge la Katiba walifanya kosa kubwa sanakutokuweka kipengere cha Taifa kuwa na Public Service Broadcaster KIKATIBA ilichombo hicho kiwatumikie WANANCI na sio SERIKALI kama ilivyo sasa.

Wenzetu Denmark wana Public Service Broadcaster na ndio hiyoinatoa fair coverage kwa wagombea wote. Tanzania tuna safari ndefu sanaaaaaa naTBC yetu hii
 
Nashukuru mkuu kwa info....
 
Hujatukanwa hali hiyo, jee, ukitukanwa si utasema umepigwa jiwe la kichwa.

Kukanusha huu uzushi wa mleta mada? Hilo jileta mada mbona linajulikana humu kwa porojo.

Bimkubwa mbona povu? twende taratibu.....
 
Rais Wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete amezuiliwa kuingia Denmark kutokana na vuguvugu la uchaguzi nchini humo baada ya kubainika kuwepo kwake kungempa nafasi zaidi ya kuonekana waziri mkuu Wa sasa kitendo kilichotafsirika Kama kumpigia kampeni.

RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga washirika wa mandeleo katika nchi za Scandinavia, amekataliwa kuingia Denmark kwa madai kuwa ziara yake itatumika kisiasa kumnufaisha Waziri Mkuu wa sasa wa Denmark.

Nchi hiyo inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wiki ijayo. Zuio hilo limekuja baada ya vyombo vya habari na vyama vya siasa kudai kuwa ziara hiyo ingetumika kumnufaisha Waziri Mkuu aliyepo kwa kumpa muda wa ziada mbele ya vyombo hivyo wakati huu wa kampeni.

Vyama vyote vya kisiasa vinapata muda sawa mbele ya vyombo vya habari na kwa hiyo uwepo wa Rais Kikwete nchini Denmark ungesababsha Waziri Mkuu aliyepo madarani kuonekana mara nyingi akimpokea mgeni wake.

Rais Kikwete hivi karibuni amefanya ziara katika nchi za Finland, Sweden, Uholanzi ikiwa ni sehemu ya kuaga kutokana na muda wake wa kuwa madarakani kufikia ukingoni.

MY TAKE:
Vyombo vya habari hapa kwetu vijifunze kutoka kwa Wenzetu viache ushabiki na viweke mizani sawa kwa wagombea na vyama vyote.....
Ombundsman..hii imewasaidia
 
hahahaha wanaccm hawajitambui asee

Wengi Wa wapenzi wake ni wale wanaoishi kwa kibaba cha unga na kitoweo cha utumbo na miguu ya kuku.... sasa hapo unaweza jionea picha ya thinking capacity yao.....
 
Wengi Wa wapenzi wake ni wale wanaoishi kwa kibaba cha unga na kitoweo cha utumbo na miguu ya kuku.... sasa hapo unaweza jionea picha ya thinking capacity yao.....
Nilitarajia ungnelewa bila kutumia nguvu nyng.Inashngza hadi leo 50yrs baada uhuru chn ya ccm gov'mnt huwezi tofautisha nafasi ya dimpoz na rais.
 
Nilitarajia ungnelewa bila kutumia nguvu nyng.Inashngza hadi leo 50yrs baada uhuru chn ya ccm gov'mnt huwezi tofautisha nafasi ya dimpoz na rais.

Ndugu mbona hueleweki?
 
Back
Top Bottom