mzalendokweli
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 579
- 138
Amekuwa si mstaarabu.
Sheria na taratibu zinaruhusu kiongozi kupokea zawadi na akishaipokea anaokabidhi serikalini. So kama kiongozi mkuu wa nchi angeipokea na kisha palepale angemkabidhi dc au rc na kumuagiza waisimamie iuzwe na kisha fedha itakayopatikana itumike kwenye ujenzi wa shule au kununua madawatilpl
Kwenye shule ya jirani.
Kisha yeye afuatilie utekelezaji. Kwa kitendo chake cha kukataa tena hadharani sio picha nzuri
Sio kwamba hajui hayo mkuu..hilo ni dongo amepigwa mtu. Humjui mzee wa mipasho??fuatilia historia.