Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Jamani huu ni utani mchana kweupe, ameona ina thamani ndogo ndio maana ameamua atoe zawadi, achukue za kule Uswiswi ndio alete kama zawadi
Chadema mwendo mdundo fukuza mafisadi, vipi we fisadi umerudi?Mkuu salama,vipi babu amesharudisha zile million 140 alizokwapua ruzuku ya watanzania.
Gram 227 ndo unaita bonge? tena ina thamani ya milioni 16 tuuu ndo unampa JK? ndo maana kaikataa kaona kwanza wamemdhalilisha wangeandaa kitofali kama vile vya choma muone kama angekataa
Ingekuwa ni Mkapa na Slaa wangechukua tu. JK ana busara sanaaa
Ingekuwa ni Mkapa na Slaa wangechukua tu. JK ana busara sanaaa
Ingekuwa ni Mkapa na Slaa wangechukua tu. JK ana busara sanaaa
Angeuza halafu hizo fedha angetoa yeye mwenyewe kwa watoto hao yatima, kwani sina uhakika kama zitawafikia walengwa!
Kila ninapoliombea Taifa langu humuomba Mungu Rais ajae awe na busara na hekima kama hizi akizonazo Rais wetu mpendwa Jakaya Kikwete.
safi sana,huo ndio uzalendo.na rais yule mwingine naye si arudishe zile suit za ulaya?
Afu alichokifanya rais ni sawa na mh mbunge yuléeee anayechukua posho na baadae huirudisha
kumbe ni makosa yako,kama ume-copy na ku-paste hivi basi hili si jambo dogo,taarifa kutoka ikulu haiwezi kuunganishwaunganishwa maneno hivi kama mtoto wa darasa la kwanza halafu useme ni swala la kibinadamu!!no,big no.
Una Fistula ya Ubongo
Unafiki ni dhambi inayotafuna nchi yetu.
well said mkuu! Gram 227 thamani yake haifiki hata nusu ya mshahara wake ,pia hii habari imekaa kinafiki kipande hicho cha dhahabu ukubwa wake hailingani hata na Nokia ya tochi watu wanaita mche.
Nimesha fanyia mabadiliko..ni makosa ya kibinadamu tu!
aktaka tumuamini akatae zile ridhiwan anazochota za familia geita gold mining kila sku na barrick kwa siku bilioni 1 huo ni unafki ..akatae na tenda alizoforce familia yake ikachukua kuptia puma na wakamfukuza mkurugenzi mkuu wa tanesco kwa kukataa kampun ya familia ya jk,,pia akatae na tenda ya ksheria waliyomsmamisha kaz lawrence mafuru wa nbc baada ya kukataa kuipa grk advcate ternda ya kusmamia kes za nbc wakat mafuru alisema ni kampun ya khun haina cv ...pia akatae mkakat wanaoufanya ili kumnyang'anya mkono tenda za tanesco ..pia akatae pesa anazolipwa kuptia iptl ..akatae tenda wanazochukua kila sekta kuptia lugumi interprises hayo ni macahache bado zlee biasahara zetu zileeeeeeeee