Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

it's funny ameikataa halafu anawaelekeza wakaiuze wawasaidie watoto yatime!!!do you know what does that mean?ni kama ameichukua mwenyewe na kuiuza ila pesa anasaidia yatima.Being the man he is it's no surprise the whole show was pre-calculated.
Habari yenyewe ni kuwa Raisi Kikwete amerudisha zawadi aliyopewa! Hakuikataa jamani, aliikubali lakini hakutaka imsaidie mwenyewe na familia yake; na badala akatoa maelekezo hayo aliyotoa kwa faida ya wale aliotaka wafaidike na hiyo zawadi. Hivi angeikubali na kuichukua ingekuwaje, si tungesema tu? Wengine walichukua zawadi na wengine wanaendelea kuchukua! Sijui tuwasemeje au tuwafanye watu kama hao?
 
JK ana busara sana, ingekuwa ni babu angepokea.

Granu 227 huenda ni Uzito mkubwa ajabu! Lakini kama gramu 227! Duh! Piga hesabu ya kawaida, gramu ya dhahabu kwasasa tena iliyokwishatengeneza urembo wa dhahabu ni Tshs 40,000. Kwa hiyo amekataa kama Tshs 1,008,000(milioni moja na elfu nane) tu! Anataka kutuzuga kwa hiyo pesa ndogo!
 
Hiki kitengo cha mawasilino ikulu sasa naona hakina faida hata kidogo. Sikutarajia kuona taarifa ya ajabu namna hii ikitolewa na kitengo hicho.
 
walioingia huo mkataba nao wamerudisha...ten percent..?
 
Hiyo zawadi ni kejeli kwa JK, kuirudisha bila kuwawajibisha haitosaidia
kushiriki shughuli za kijamiii ni kiduchu sana kwao ukilinganisha na faidia wanayochota

uchumi wa nchi mfano Canada na nchi zingine unajengwa na madini yetu wanyochota
tumewaacha watuharibie mazingira hakuna wa kuwajibishwa.
tunatoa tender bila kuangalia Enviromental Impact Asssesment
watakougua na wanaoumwa cancer ni wengi sana
zawadi aliopewa ni kejeli kwa kuwaruhusu kuiba wanavotaka
hii ni kejeli na dharau kubwa sana kwa rais na watanzania kwa ujumla.
 
sehemu nilizowekea red niambieni kama hawa watu waliajiriwa kwa sifa au ni kujuana!!!!!!!!!!!

Mimi siamini kama hii ni official notice kwa umma toka kurugenzi ya Rais. Kuanzia kwenye presentation, content mpaka lugha zinaonyesha udhaifu mkubwa wa idara husika. Ndio maana performance ya Rais inaoneka dhaifu kwa sababu hata wanaotakiwa kumsaidia kuonyesha kuwa jamaa ni mahiri wao pia ni dhaifu
 
Arudishe ana wazimu, wakati anazifuataga nyakati za usiku. wakati mwingine anamtuma MWANAE aje kuzichukua kimyakimya. NCHI IMEOZA
 
nina uhakika Jk angepewa tofali kama lile mkapa alipewa pale GGM asingelirudisha.
amepiga hesabu kipanda cha m16 akaona uchafu tu.
 
Angeuza halafu hizo fedha angetoa yeye mwenyewe kwa watoto hao yatima, kwani sina uhakika kama zitawafikia walengwa!

Mkuu umeliona sawa sawa jambo hilo. Ingekuwa vizuri kama angesema tu kuwa amepokea hiyo zawadi lakini anaridhisha thamani yake kwa watoto yatima ktk jamii hiyo. Maeneo ya vijijini watoto yatima kwako kwa ndugu za wazazi. Kama alikusudia zitolewe kwa vituo vya yatima, sasa zinaweza sizifike kwa sababu huenda taasisi hizo haziko. Hata kama ziko, mgao unaweza kuwa kidogo kuliko zao la uzo la dhahabu hiyo.

Huenda hii pia ikawa na mwisho wa zawadi za namna hii kwa sababu watoa zawadi huwa wana lengo na mara nyingi hawapendi zigawiwe kwa wengine huku wakifahamu hivo. Hata mm nikijua zawadi nitayotoa kwa mtu itakwenda kwa mwingine, huenda nisitoe!! Hizi ni hulka za sisi binadamu wengi. Ninadhani JK angechukua bila kusema chochote lakini baada ya siku kadhaa akatoa pesa zote kwa yatima wa sehemu husika.
 
Aktaka tumuamini akatae zile ridhiwan anazochota za familia GEITA GOLD MINING KILA SKU NA BARRICK KWA SIKU BILIONI 1 HUO NI UNAFKI ..AKATAE NA TENDA ALIZOFORCE FAMILIA YAKE IKACHUKUA KUPTIA PUMA NA WAKAMFUKUZA MKURUGENZI MKUU WA TANESCO KWA KUKATAA KAMPUN YA FAMILIA YA JK,,PIA AKATAE NA TENDA YA KSHERIA WALIYOMSMAMISHA KAZ LAWRENCE MAFURU WA NBC BAADA YA KUKATAA KUIPA GRK ADVCATE TERNDA YA KUSMAMIA KES ZA NBC WAKAT MAFURU ALISEMA NI KAMPUN YA KHUN HAINA CV ...PIA AKATAE MKAKAT WANAOUFANYA ILI KUMNYANG'ANYA MKONO TENDA ZA TANESCO ..PIA AKATAE PESA ANAZOLIPWA KUPTIA IPTL ..AKATAE TENDA WANAZOCHUKUA KILA SEKTA KUPTIA LUGUMI INTERPRISES HAYO NI MACAHACHE BADO ZLEE BIASAHARA ZETU ZILEEEEEEEEE

Dah! nakubaliana na wanaosema Tanzania ni zaidi ya uijuavyo! Ahsante kwa kututoa tongotongo!
 
Zawadi hiyo ni sawa na theluthi ya production ya mwezi mmoja. Inaelekea walikua wanatoa rushwa ila rais akawatolea nje. Kuwapa yatima sio lengo lao kwa hivyo itabidi ufuatiliaji thabiti wa ikulu kuona fedha hiyo inatolewa kwa yatima.

you think so!what happened to those five gorgeous business black suits huh?
 
Unafiki utazidi ule wa wanafiki ambalo waliwalaghai wananchi kuhusu abolition of sitting allowance na yatokanayo na faida za kibunge wakati wa kuomba kura halafu ukifika bungeni unaomba posho ziongezwe huku wengine wakiomba kurudishiwa tena magari waliyoyakataa na kuyarudisha kwa mbwembwe na vifijo.
 
Acha gubu..umeshaletewa taarifa..kama una malalamiko wasiliana na Salva Rweyemamu na si kumshambulia mleta mada as if ametenda kosa la jinai..ujifunze kua na shukrani..Bichwa la avatar yako kubwa kweli!

we kiazi angalia nimekosoa mda gani na yeye karekebisha mda gani!!!niende kwa salva sizipendi kucha zangu?na uache kujipendekeza kwa mleta mada(nafikiri ni mtangazaji wa eatv),na kwa taarifa ya mtaani ni kwamba ana girlfriend stay way from him groupie!!!!
 
nina uhakika Jk angepewa tofali kama lile mkapa alipewa pale GGM asingelirudisha.
amepiga hesabu kipanda cha m16 akaona uchafu tu.
 
kuna wengine walipewaga ringi la shingoni kilo kama mbili hivi - kimyaa!! na wao warudishege.
 
That must have been staged! chezeya dhahabu weye...? we piga kelele huku mwenzio alishakula kilo zake za kutosha hiyo ya kurudisha ilikua mchezo wa kuigiza tu
 
Back
Top Bottom