Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Clouds pia watajiunga live, mtangazaji wao makini Simalenga, yuko viwanja vya Ikulu!.
 
Hata mtumwa huwa anafanya kazi kwa bidii kwa bwana wake, lakini haishi kula kidondokacho mezani kwa bwana wake!
Kufanya kazi kwa bidii hali unanyonywa ni upuuzi! Waulize walimu vijijini? Mazingira duni, mishahara isiyokidhi, hali wanandugu wako serikalini wanagawana alichostahili, afanye kazi kwa bidii, hiyo bidii ataitoa wapi na njaa yote aliyonayo? Wangapi wanauza pombe? Toa minyororo yako shingoni!
Mungu wetu anaita!

I salute u boss!
 
Ms Saada Mkuya Salum ni Commissioner for External Finance under Zanzibar President's Office Finance, Economy and Development Planning

source: Ms Saada Mkuya Salum
 
Leo kila mtu anaanzisha thread yake,! Zimekuwa nyingi hadi zinapoteza maana! Ziunganishwe au endelezeni kwa zilizopo maana mnatuchanganya tu!
 
Nimechoka kusubiri,post zinaenda km umeme,hakuna cha maana wanaandika!
 
JAMANI HAMNA JIPYA UMO. Balaza la mawaziri KIKATIBA huwa linaundwa na Raisi akishauliana na waziri mkuu. Sa waziri mkuu kateuliwa lini? Kasibitishwa na bunge lini? Na kamshauri raisi lini juu ya wanaotakiwa kuwa mawaziri. Nasisitiza hakuna jipya. Ni sawa bongo muv ukiona mwanzo unajua mwisho wake
 
Tunasinzia sasa, yule mwakilishi wa JF alietumwa huko vp? Atupe updates basi kinachojiri kwa sasa.


nadhani atakuwa amezuiwa kuingia,naona kimya hata updates ndogo ndogo jamani?au naye kabana mahali anasubiria luninga
 
Hawa wanaoondoka ndo wamefanya hii kitu........wamechomoa kila kinachoweza kuchomolewa......

Sasa tunaweka wengine waendelee.........ikifika 2015 tutabaki na chasis

05+gari.jpg

Hahaha Bigiiiiiii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom