Labda mkulu amekula hii chakula yetu akakabwa na mifupa!!
minofu si tunawauzia wazungu??!!
![]()
anayewakilisha JF naye kanyang'anywa simu au??
Siyo swine hii?
Jamaa anachakachua dakika za mwisho2 ....si unajua anapewa ushauri afu anapiga chini tehehe.....!
anayewakilisha JF naye kanyang'anywa simu au??
Ni kweli kabisaa, ni kawaida yake kuwachomesha watu mahindi.
Sijui huwa anafanya nini?
Huku hasikiki !!! Ni hiyo tu ndio inatangaza ? Vipi kuhusu ITV ?
hahahaha......bado tu wajameni...?
nackia na mi nimo
hahaha JF is never boring