Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Clouds pia watajiunga live, mtangazaji wao makini Simalenga, yuko viwanja vya Ikulu!.
Nawe upo viwanja vya ikulu.?
Clouds pia watajiunga live, mtangazaji wao makini Simalenga, yuko viwanja vya Ikulu!.
hahahaha......
Mkwerre anapenda attention!!!
Lazima awachomeshe waandishi mihogo kwanza!!
inawezekana cartridge ya printer ilikuwa imeisha........katumwa mtu kariakoo fasta!!
Ivi JK ameshatangaza kulivinja baraza la mawaziri? Kama bado atateuaje lingingine kabla ya kulivunja hili? Tegemeeni MAREKEBISHO ya baraza na siyo UUNDAJI UPYA WA BARAZA.
mkuu taska baridiii siioni au nijibebee.
Kuna watu waliumwa sikio kwamba wamo basi wao wakashangilia. Taarifa zimefika anawanyofolea mbali.
Hizi tv station za tanzania zote hopeless!
Tbccm-ngoma
itv-watoto
star tv-classroom
Nimechoka kusubiri,post zinaenda km umeme,hakuna cha maana wanaandika!
Kikwete ana mambo mawili mazito, 1. Kuteua baraza jipya la mawaziri ambalo litawakidhi watanzania binafsi sitaki kusikia majina yafuatayo zakhia meghi, sophia simba, mustafa mkulo, william ngeleja. Kazi ya 2. Ni kuwaswaga mahakamani mawaziri walioondolewa kujibu tuhuma! Hapo nitamwona jk anawapenda watanzania na ccm yake, lakn vinginevyo ni usanii'
Sisi ni Wasswahili na kuchelewa ni kawaida yetu!.Wahariri waliambiwa wawepo saa 9 tayari kwa mkutano ambao ungeanza saa 10. ni saa 10:40 sasa. Hatujui hata thamani ya muda.
niwape skype ya white hausi?
Mambooo.........Hahaha Bigiiiiiii
Mkuu, tehetehe!!
Nakula na Konyagi hapa, naona TBC wanapiga ngoma za asili na hakuna jipya!!
Mpaka watangaze kichwa itakuwa imeshaharibika kabisa!
aliethubuti hilo ni Nyerere tu