Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
ah, tusubiri tu jamani. balaza litatangazwa na msitegemee miujiza, watu ni walewale. haina haja kutukanana.
 
Hamna aliyedharauliwa...watu tumezoea kulalamika sana. Tunataka serikali itufanyie kila kitu, wakati kwa hali ya kawaida haiwezekani!! Hata leo hawa mavuvuzela wa CDM wakiingia madarakani, hawawezi kufanya chochote. Mimi siku zote huwa nahamasisha ufanyaji kazi kwa bidii na kwa nguvu zote. kwa kujituma, kila kitu kinawezekana!!

Hata mtumwa huwa anafanya kazi kwa bidii kwa bwana wake, lakini haishi kula kidondokacho mezani kwa bwana wake!
Kufanya kazi kwa bidii hali unanyonywa ni upuuzi! Waulize walimu vijijini? Mazingira duni, mishahara isiyokidhi, hali wanandugu wako serikalini wanagawana alichostahili, afanye kazi kwa bidii, hiyo bidii ataitoa wapi na njaa yote aliyonayo? Wangapi wanauza pombe? Toa minyororo yako shingoni!
Mungu wetu anaita!
 
EATV wametangaza watarusha live muda wowote.Sasa kazi kwako, hatutaki kusikia eti sikupata taarifa.
 
Hakyanani ......., ubabaishaji wa aina hii unapofanyika Ikulu, huko kwingine sasa tutarajie nini Kama siyo madudu tu??!
 
Nampigia Salva Rweyemamu naye hapokei simu! Sijui kuna siri gani kwenye hili tukio?
 
TBC wametangaza kuwa watajiunga na Ikulu muda mfupi na Ikulu Rais ataongea na taifa. Hii nimeisikia baada ya muhtasari wa habari saa kumi hii.
 
updates, poleni wakuu kwa kusubiri swala ni kwamba hata sisi humu ndani huwezi tu post news kwa papara, tunajiibia n I pad zetu na camera zetu kibishi,
meza kuu washakaaa wakubwaa muda wowote MH anatangaza, ila kwa nyepesi tu ni kwamba anabadili baadhi ya mawaziri baraza halijvujnwa kabsa
stay tuned
Hiyo ni by default angevunja ina maana PM naye angekuwa nje na asingeweza kutangaza bila kuitisha kikao cha bunge.
 
Tbc1 mbona naona ndugu zake Wassira wengi wanaruka ruka.... au...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom