labda saa kumi kwa saa za "ikulu"
wakati wowote
Ndallo mambo vp, mkuu! avatar yako inafanana na sura ya dr mmoja mtaalamu wa philosophy pale udsm. basi nikuonaga duh, namkumbuka.Mimi TBC1 naona kuna jamaa ameshikilia Fuvu la mtu wa Kale tu!
Saada Mkuya Salum waziri mpya wa fedha? tetesi!!!!!
Mkuu yupo bafuni amalize avae ale chakula duh sijui atamaliza saa ngapi.
hakuna jipya zaidi ya kuwapa mchwa wengine wamalizie kuitafuna tanzania
TBC ipo busy na wanyama wa aina ya Wassira!
Mpaka litangazwe watu mmeshapata presha