Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Hivi hawa TBC wanashindwa hata kufanya Build-up wakati huu wakisubiri kujiunga live ili wawe wakieleza japo muhtasari wa hali ya siasa tanzania kwa kipindi cha wiki tatu nne zilizopita? mbona wako namna hii hawabadiliki tu hawa jamaa? hawana mawazo mapya?? Shame on them!
 
Mbona clouds kina kibonde wanapiga taarabu tu, inakuwaje sasa?
 
Jamaa anachakachua dakika za mwisho2 ....si unajua anapewa ushauri afu anapiga chini tehehe.....!
 
bado tu wajameni...?

nackia na mi nimo
 
au walikuwa wanamanisha kati ya hizi: either saa 10 usku, or 10pm
 
Hivi hawa TBC wanashindwa hata kufanya Build-up wakati huu wakisubiri kujiunga live ili wawe wakieleza japo muhtasari wa hali ya siasa tanzania kwa kipindi cha wiki tatu nne zilizopita? mbona wako namna hii hawabadiliki tu hawa jamaa? hawana mawazo mapya?? Shame on them!

TBC hawana utaratibu huo sidhani hata kama wanfikiri!!
 
Yes nimesikia clouds fm kwa masikio yangu kwa wataunga kwenye tv live.
 
Rais Kikwete ni bingwa wa kutojali muda. Leo naona anafanya kama kawaida yake.

Ni kweli kabisaa, ni kawaida yake kuwachomesha watu mahindi.

Sijui huwa anafanya nini?
 
Aombe mungu wake apewe cheo hicho. Ndio itakuwa cheo cha juu kwenye histiria ya misha yake na ndoto zake za kuwa prezidaa..

Hakuna kitu kama hicho. Ni mpaka baraza la mawaziri livunjwe kwanza. Maadam halijavinjwa basi hakuna jipya bali ni mabadiliko ya hapa na pale na bado Pinda atabaki kupindisha tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom