Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Mungu msamehe mtoa uzi mana hajui ata alitendalo.. ameen
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Kwa wasiokuwa na akili kabisa kama wewe ndio hatoweza kuona kama tumerudi nyumba au la. Labda mm niongezee tu kuwa tumerudi nyuma mpaka kwenye rejected region.
 
  1. Kanunua ndege sita
  2. Ujenzi wa Reli ya Kati kwq Standard Gauge
  3. Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Uganda hadi Tanga
  4. Kudhibiti ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma
  5. Ujenzi wq Hostel pale UDSM
  6. Nyumba za Magomeni Kota
  7. Kupandisha bei ya korosho kutoka shilingi 1000 hado 4000
  8. Ujenzi wq Barabara ya Mwenge hadi Morocco
  9. Ununuzi wa Meli mpya Ziwa Tanganyika na Victoria
  10. Umeme wa uhakika. Hakuna mgawo kwa sasa
  11. Nk nk
Hayo yote hakuna lililoanza hata moja zaidi ya tarumbeta tu
 
Na UPIGAJI serikalini umeongezeka maradufu. Watu wanakwiba zaidi ya kipindi kile.
 
82b65115eb5668fb9aafbbd32a1469a2.jpg
kweli tuna safari ndefu,kama unaweza kuwasitishia mkopo wanafunzu walioko nje ya nchi,sijui wanaishije uko.

Tatizo ni roho mbaya na fikra za kimaskini...
 
siku hizi nakuelewa sana mleta mada
Mungu akulinde na mabaya yote
Ndege mfananao mnaruka sambamba.....

Wananchi wooote tunaolalamika hakuna hela tulikuwa wapiga dili [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji30] [emoji30] [emoji30] sio kabisa bora jk mara elf kumi NA tisa
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Kweli KABISA ila haujapinga kwa hoja ila yatupasa kumuunga RAIS MKONO
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Uliyoyasema yote hayanauhusiano na post. Kwa kifupi hujasema chochote,

Mtoa post amesema kwa hoja, wewe ulitakiwa kupinga post yake kwa hoja.

Mfano issue ya ajira mtoa post amesema tumerudi nyuma zaidi kuliko alikotukita Rais,

Mkopo wa elimu ya juu, makusanyo ya kodi,

Kuteua wale wale ambao aliwatumbua mwa kutuaminisha hawafai wameturudisha nyuma na kuiingiza hasara serikali

Hoja zake zote unatakiwa uzipinge kwa ushahidi siyo kuongea bila kujua unachokiongea
 
Serikali na TRA walijizuka nafaini, badala yakuanzisha vyanzovyamapato, nahayo nimatokeo ambayo wamijiandalia wanyewe
 
Back
Top Bottom