Kuongoza nchi ni kazi kwa sababu kuna wanafiki wa kila Aina. Kuna wakwamishaji kama wewe. Na kuna wasiokuwa na uzalendo na nchi yao kama wewe.Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.
Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.
Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.
Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.
Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.
Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.
Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.
Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.
Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.
Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.
Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.
Naomba kutoa hoja.
Quinine.
Ndo zenu, ili mradi mkono uende kinywani
- Kanunua ndege sita
- Ujenzi wa Reli ya Kati kwq Standard Gauge
- Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Uganda hadi Tanga
- Kudhibiti ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma
- Ujenzi wq Hostel pale UDSM
- Nyumba za Magomeni Kota
- Kupandisha bei ya korosho kutoka shilingi 1000 hado 4000
- Ujenzi wq Barabara ya Mwenge hadi Morocco
- Ununuzi wa Meli mpya Ziwa Tanganyika na Victoria
- Umeme wa uhakika. Hakuna mgawo kwa sasa
- Nk nk
Analotenda analijua kumbuka kila siku watendaji wake wanaomba Aungwe mkono kwa vitu ambavyo hatujaviona bado.Mungu msamehe mtoa uzi mana hajui ata alitendalo.. ameen
Pole sana. Utakuwa unaumwa ugonjwa wa upungufu wa lishe maana hufikiri chochote katika uchumi. Uliza usaidiwe usikurupukehuhitaji utaalam. general kilio cha kupungua hela mtaani.
Hayo mazuri yalete tuyaona kwa unarusiwa. Usitie huruma ktk hoja ya mtu. Na mazuri huwa yanaonekana bila kificho na ukiona hivyo hakuna jipyaUmeona Mabaya Mazuri ujayaona. kwenda zako.
# HAPA KAZI TU!
Na mahakama ya mafisadi waliyotangaza kwa mbwembwe iko wapi? Haaa haaaina maana hakuna ufisadi Tanzania
Mi nilidhani wakati mahakama inaanzishwa tayari mafisadi walikuwepo kumbe mlianzisha mahakama kwa mafisadi wapya? Aisee mnayo akili balaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
CCM mlivyo na akili ndogo,kuwepo hapa JF tu nimelipa kodi kama 6 hivi,unajua hili bwege weweNYIE HATA KODI HAMJAWAI KULIPA MLITAKA ATEKELEZE MTAKAVYO BILA SAPOTI YETU ,ONYESHEN MLICHOFANYA ILI TUWAUNGEN MKONO
Kheee! Hata wewe leo umegeuka?Huu ni utawala uliofitinika na kulaanika
Kwani pesa ya rambi rambi ilishawahi kutolewa?Kheee! Hata wewe leo umegeuka?
Umeandika mapambia mengi lakini hakuna point ya msingi wala mfano ulioutoa zaidi ya kuimba ngonjera kama rais wako. Amefanya kama kukomoa na kilipiza visasi kwa wapinzani wake.Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Hapa kwenye mikopo ya elimu ya juu. Stahiki za wafanyaki, Ajira, uchumi na utawala wa sheria ndi alipotokota kabisa...amebaki kupamba na wapinzani akifikiri ndio adui wake huku nchi inazidi kudidimia pangoni.Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.
Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.
Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.
Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.
Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.
Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.
Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.
Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.
Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.
Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.
Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.
Naomba kutoa hoja.
Quinine.
Yaani ndiyo umezidiina maana hakuna ufisadi Tanzania
HahahahahahaNaomba kuongezea hata ile vamia vamia ofisi za serikali nayo tumerudi kule kule