Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Sasa wanaua kwa kwenda mbele.
Na ni upuuzi kuunga mkono ujinga unaoendelea kwa kisibgizio kua ukikosoa ww si mzalendo, ww unga mkono unayoyaona yamefanikiwa na wanaoyaoba watakuunga mkoni ila usilete upuuzi eti kuunga mkono hoja ni ujinga. Kwa aliyoyaelezea niyakweli kabisa wala hakuna shaka na hiloNi kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Hakuna haja ya kupongeza hayo ni majukumu yao waliomba kura kuyatimiza sasa ulitaka wafanyejeNi kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Bila kusahau katupora FAO LA KUJITOA ambalo lingetusaidia kufungua kibanda cha chips baada ya kufukuzwa kazi kwa muhindiMstsri gani huku unaumiza wasiohusika na unajisifia?? Umesimamisha maswala ya ajira ambalo ni tegemeo kubwa la wanyonge wa nchi hii maana hawana hata MTU wa kuwapa laki mbili za mtaji,umesimamisha ongezeko la mishahara ambalo huwasaidia sana wanyonge wenye kipato kidogo kuliko hao wenye mishahara mikubwa,mikopo ya chuo imekuwa shida kuliko awamu zote,sasa hakuna vigezo vya wazi tofauti na awamu zilizopita,ni wanyonge gani anaowatetea huyu mzee?? Mbona wanyonge ndo tunaoumia zaidi??
Kwani wakitumbuliwa Mimi inanisaidia nini?Kuna ambao tayari wametumbuliwa sabab ya ufisadi nadhani mtoa mada alikusudia hao au na wale walofanya ufisadi kipindi cha nyuma n.k. Nadhani ni mapema mno kuanza kusema kuwa Mahakama imekosa kesi, labda tungeipa muda, pengine watu wapo kazini kukusanya vielelezo na ushahidi hawataki kukurupuka tu na kuwapeleka watu Mahakamani then baadae Serikali ije kushindwa tuanze kulipa fidia, waachane watu wafanye kazi kwa Umakini.
Tena bunge la ndioooooooNauliza tu hivi bunge lina maana gani kutumalizia hela wakati rais yuko kila siku TBC kutoa ahadi na kuidhinisha fedha kwa miradi mipya.
We unataka tumsifu kwa lipi linalonisaidia Mimi kama mwananchi Wa kawaida -directlyChadema mmegongwa kila kona sasa mnaanzisha thread mnazofanana nazo
Simama hivohivo subiri ule mweleka ndo ujue kumbe umekula mitama ya SIZONJE [emoji196] [emoji379] [emoji90] [emoji200]Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
We bado umepinda etiee[emoji196] [emoji90]Mahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
Umetokota kiongozi wetu yamemshinda isipokuwa mwanaume hawezi kukiri udhaifu uliopo kachemsha kibaya hawakufuatilia history yake mapema hakuna jambo alilowahi kufanya likafanikiwa huyo kivuko.ndege.madini. vmafisadi vimemgaragaza vyote mpaka uchumi wa watu umedololaNi kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
tKila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.
Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.
Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.
Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.
Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.
Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.
Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.
Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.
Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.
Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.
Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.
Naomba kutoa hoja.
Quinine.
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Kwa mahakama ya mafisadi ali bughi kwani isinge iacha ccm salama, ingeanza na walio fisadi uuzaji wa nyumba za serikali hadi kwa wanao fisadi hela za huduma ya vyoo vya kulipia kwenye halmashauri zote hapa nchini.Mahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
Mahakama ilianzishwa kwa ajili gan kama mnaona ngumu kukamata watu?Hebu niambie katika mafisadi woote unao wafahamu. No yupi anakamatika, yaani mwepesi tuu tunaweza mkamata hata kesho tukamtia mahakama yetu pale. !!! Yupi ???