Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Mwanzi1 ungekua unatumia muda wako kupangua hoja kama hizi badala ya kila siku kutupigia makelele sisi Wakenya.
 
Haha, umekaa ukapekuwa weeeee..... ukaona uje na hii hoja, mimi niko kotekote Kenya Tanzania na kwengeneko, sikimbi hoja. Huu uzi ulianzishwa Dec 2016, mengi yamebadiliaka na nadhani majibu ya maswali ya huu uzi yameshatoka. Tena leo hii msemaji wa serikali ametoa takwimu nyingi na zingine zinajibu hoja zilizokuwa hapa. Comprender?
 
Mimi naomba afanikiwe kwani akishindwa hali itakuwa mbaya kuliko ilivyokuwa na wote kama nchi tutaathirika.
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Jipo hoja kwa kuonyrsha alichofanya na kufanikiwa! Ukijibu kwa ujumla huonyeshi lolote.
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
yeye mwenyewe ana chembe za ufisadi so usitupigie makelele
 
Unapochimba shimo lá taka ni wazi unajua taka zitakuwepo
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Haujaelewa tu labda sababu umekamatika,
Mdau anamaanisha tulichochagua tukadhani kinafaa zaidi ya kilichokuwepo ni cha hovyo zaidi ya kilichokuwepo
 
Haha, umekaa ukapekuwa weeeee..... ukaona uje na hii hoja, mimi niko kotekote Kenya Tanzania na kwengeneko, sikimbi hoja. Huu uzi ulianzishwa Dec 2016, mengi yamebadiliaka na nadhani majibu ya maswali ya huu uzi yameshatoka. Tena leo hii msemaji wa serikali ametoa takwimu nyingi na zingine zinajibu hoja zilizokuwa hapa. Comprender?

Nilikua napita jukwaa lenu la siasa nikaona nyuzi nyingi zenye malalamiko, nikaona nifungua walu moja hii na kuwaza kwamba mumeelekeza nguvu nyingi kuwajibu Wakenya kula ilhali mumekimbia huku ambapo ndipo mlifaa kukeshea.
 
NYIE HATA KODI HAMJAWAI KULIPA MLITAKA ATEKELEZE MTAKAVYO BILA SAPOTI YETU ,ONYESHEN MLICHOFANYA ILI TUWAUNGEN MKONO
Yaani...mfanyabiashara alipe Kodi kisha zikafanye Biashara ya kununua Binadamu
Madiwani na waBunge kwanini mnahisi watz wote ni maBWEGE
 
Nilikua napita jukwaa lenu la siasa nikaona nyuzi nyingi zenye malalamiko, nikaona nifungua walu moja hii na kuwaza kwamba mumeelekeza nguvu nyingi kuwajibu Wakenya kula ilhali mumekimbia huku ambapo ndipo mlifaa kukeshea.
Unaweka lawama nyingi kwa mchezaji badala ya mchezo wenywe. Kama yamewashinda huko kwenye jukwaa la Kenya, nyayuweni mikono juu tu, tutawaacha.
 
Kule hatupo kiushandini, kama nyie huwa mnakeshea huko mkidhani mnashindana basi mtahema sana, mimi nilikua nawashauri mtumie nguvu nyingi kidogo kwenye kupoza ndugu zenu hawa wanaolalamika jinsi kila kitu kimeharibika.
 
Ni aibu sana kuwa na watu wanaotamani mambo yafeli, Aibu sana, kuna msemo unaishia kwa kusema "be part of solution".
 
Kule hatupo kiushandini, kama nyie huwa mnakeshea huko mkidhani mnashindana basi mtahema sana, mimi nilikua nawashauri mtumie nguvu nyingi kidogo kwenye kupoza ndugu zenu hawa wanaolalamika jinsi kila kitu kimeharibika.
Hapa bila kunyayua mikono juu na kutubu dhambi zenu za kuchafua jina la Tanzania, hakuna atakekuelewa. Tena mfunguwe na Uzi kabisa wakuomba poo. Haha
 
Mnavyoichafua Tz kila siku, haiwezi kuoshwa kwa kufunguliwa uzi.
 
Haha, umekaa ukapekuwa weeeee..... ukaona uje na hii hoja, mimi niko kotekote Kenya Tanzania na kwengeneko, sikimbi hoja. Huu uzi ulianzishwa Dec 2016, mengi yamebadiliaka na nadhani majibu ya maswali ya huu uzi yameshatoka. Tena leo hii msemaji wa serikali ametoa takwimu nyingi na zingine zinajibu hoja zilizokuwa hapa. Comprender?
GooooD
 
The president is busy trying to fix a square peg in a round hall...... Very busy
 
Huwezi kuwashinda wauza madawa ya kulevya. who are you!

watu wanatumia dark web utawawezea wap. Kikubwa utawala huu approaches
 
Back
Top Bottom