herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,743
Huyu ndio mr zero orijino
Sumaye tulimwonea
Sumaye tulimwonea
Wanaotakiwa wakushauri unawaita wanawashwawashwaHuu mchezo hautaki hasira....ngoja tuendelee kumwangalia anavyochemka
Agiza heinken Mkuu....huu utawala umelaaniwa sio kidogo.. Laana Laana LaanaHuu ni utawala uliofitinika na kulaanika
Si walisema kuna ufisadi katika electronic passportMahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
Acheni utani bwana. Hata rambi rambi mmekula ??????Kwani pesa ya rambi rambi ilishawahi kutolewa?
Hebu niambie katika mafisadi woote unao wafahamu. No yupi anakamatika, yaani mwepesi tuu tunaweza mkamata hata kesho tukamtia mahakama yetu pale. !!! Yupi ???Mi nilidhani wakati mahakama inaanzishwa tayari mafisadi walikuwepo kumbe mlianzisha mahakama kwa mafisadi wapya? Aisee mnayo akili balaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Basi nikajua Mamvi ana bahati mbaya.....Hebu niambie katika mafisadi woote unao wafahamu. No yupi anakamatika, yaani mwepesi tuu tunaweza mkamata hata kesho tukamtia mahakama yetu pale. !!! Yupi ???
Labda uko kwenye kisiwa hayo mambo umeyaona mwenywe,sometimes tuache unafki
- Kanunua ndege sita
- Ujenzi wa Reli ya Kati kwq Standard Gauge
- Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Uganda hadi Tanga
- Kudhibiti ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma
- Ujenzi wq Hostel pale UDSM
- Nyumba za Magomeni Kota
- Kupandisha bei ya korosho kutoka shilingi 1000 hado 4000
- Ujenzi wq Barabara ya Mwenge hadi Morocco
- Ununuzi wa Meli mpya Ziwa Tanganyika na Victoria
- Umeme wa uhakika. Hakuna mgawo kwa sasa
- Nk nk
refer kauli ya Dr Slaa aliposema kwamba ukiitoa CCM ndo na matatizo ya nchi yamekwisha? hebu tuweni serious bwana punguzeni hisia mruhusu akili zitumike..!![/QUOTE]kweli tunatofautiana yaan shida tunazo pata zote hizi na mauaji yote haya bado watu hamuoni kweli tanzania akili zetu sijui zipo wapina Kuna watu ndani ya ccm wanamishemishe asitoboe 2020..baada ya mianya yao ya Wizi kuwekwa super glue w
kwa hiyo wewe unshabikia wizi baada ya kuzibwa mionya ya wezi???
Tatizo la nchi hii ni ccm.....
Siku hizi hata rambi rambi zinapigiwa hesabu mzee, sijui hii maana yake nini aisee. Uende maziwa, misitu, madini n.k havitoshi tenaAcheni utani bwana. Hata rambi rambi mmekula ??????
Ni zile za Bukoba ?? Nini. Au zile za Arusha ???
Duuh. Rambi rambi ??
Aliwaambia watetemeke wao alafu huyooo akasepa zakeAgiza heinken Mkuu....huu utawala umelaaniwa sio kidogo.. Laana Laana Laana
Lowassa na membe mmetusababishia majanga makubwa sana
Vuguvugu la mapinduziMakeke ya rais Magufuli yameishia wapi mbona hatuyaoni tena kama mwanzo.
naona lumumba mnafanya kazi sana kutuaminisha hali ni nzuri wakati nyie wenyewe mna shida mpaka makalioni..... acha tuishi kwa imaniNi kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.