Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,616
- 1,778
Ghafla leo watu wamepata miwani ya kuona chembechembe za ubaguzi! Jana watu hao hao hawakuwa na masikio ya kusikia kauli za kibaguzi zilizotolewa jukwaani, wala kuona kwa macho yao matendo ya kibaguzi yaliyokuwa yakitendeka kila siku tena mchana kweupe. Walaaniwe sana.Mdini ni huyo anayeteua watu kwa kuangalia vigezo vya dini.
Yaani watu wa dini yake anawapa sana kipaumbele katika teuzi zake.
Pia anapendelea sana kwao Zanzibar kuliko bara.
Analeleka fedha nyingi mno Zanzibar kuliko uwiano halisi wa watu.
Huo ni ubaguzi anaoufanya lakini hauoni kama ni ubaguzi.