Ukivaa shungi tu unalamba uteuzi fasta hata kama ni empty headed.
Wavaa kimini mna kazi kubwa mbele yenu
Ukivaa shungi tu unalamba uteuzi fasta hata kama ni empty headed.
Vip mtangulizi wake yeye si alikesha akimnanga kikwete[emoji1787][emoji1787].ccm wamesha kubaliana waende njia hiyoAcha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha mawe kwake, nadhani huu ni udhaifu kwake sana.
.
Ampumzishe Mzee wa watu maana hayupo na hawezi kujibu mapigo yake.
View attachment 2181745
Kama ilivyokua, ukiwa mkatoliki/msukuma. Cheo njenjeeKwa sasa ukisali ijumaa tu unakula kitengo hata kama uwezo mdogo.
Hata kitovuni kwake chato, lissu alimnanga wazi wazii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kanda ya ziwa ipi, mbona Lisu alimpa vipande vya moto huko huko kanda ya ziwa na bado Lisu akawa na nyomi la hatari? Angeheshimu box la kura ndio angejia nguvu yake kanda ya ziwa.
Tena mama ikimpendeza katika mabadiliko ya mkuu wa majeshi/igp aweke kanzu fupi tuu tena waunguja tuu.Unateseka sana awamu hii. Safi sana.
KARMA is a bitch!
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hata kitovuni kwake chato, lissu alimnanga wazi wazii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waka ushangilia ule ujingaaa. Sasaa wanajifanya ndio wana akiliWatu walijazwa ujinga sn kipindi kile
Hakua binadamu wa kawaida yule jamaaa,aliamini katika maguvu tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Exactly, na nyomi lile alilokuwa anapata Lisu ndio lilisababisha dhalimu apore mchakato wa uchaguzi wote.
Kwahiyo ni kweli kwamba dini inawabeba kwenye teuzi.Kama ilivyokua, ukiwa mkatoliki/msukuma. Cheo njenjee
Hizi ID ni za mchambawima naona mmeitana kuja kumtetea ndugu katika imani.Wavaa kimini mna kazi kubwa mbele yenu
Kazamilia[emoji735]
.
Kadhamilia[emoji3514]
Yeye amseme lakini tuone mambo yake yaki uchumi yakifanyika siyo kuongea tu marehemu alikuwa ana wasema watu na kutenda mambo tuka yaona mfano kununua umeme wa ma Generator alikosoa na akayaondoa yote hakuna cha Symbion ya Obama wala AgreccoKama alivyonangwa wa awamu ya Iv enzi hizo. Naye alikuwa ingawa alikuwa yupo lakin alikuwa nje na asingeweza pambana naye coz alikuwa nje. Huyo unamwita e1 huenda anaonesha tulipojikwaa na kazi iliyopo kurudisha hali iwe sawa. Uwe mtulivu kijana
Batrida burianiToa mfano empty head mmoja alielamba teuzi
Empty head ukimcompare na wewe au na professorBatrida buriani
kutesa kwa zamu tulia dawa iwaingieUkivaa shungi tu unalamba uteuzi fasta hata kama ni empty headed.
Wapo wengi empty kichwani usiteuwe watu kwa kubalance Imani bali kwa uwezo wao we unavyo fikiri Raisi angekuwa Tulia Acksoni au Anna makinda au Mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania Gaudensia kabaka unazani nchi ingechewa na Wahuni? Waislamu uwezo wao ni mdogo Mama Samia hana washauri wenye uwezo wa kumuita na kumshauri Kwanza tuanzie na kijijin kwao mkoani kwao wote vilaza , niliyo kutajia uko juu wasinge weza kumsikiliza kikwete na kinana kwakila tu kwasababu makwao kuna wasomi huyo kikwete na kinana vilazaEmpty head ukimcompare na wewe au na professor
Marehemu mwangosi,Dr.mvungi,Imrani kombe,chachage s.chachage no,mabomu ya olasiti yote hayo Ni mauaji kipindi Cha mwenda zake(magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii) etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ?
Nakunukuu waislamu wote tanzania uwezo mdogo takbiiiiiiiir. !!!!!!! Kwa hiyo burian uwezo wake mdogo ukimcompare na nanWapo wengi empty kichwani usiteuwe watu kwa kubalance Imani bali kwa uwezo wao we unavyo fikiri Raisi angekuwa Tulia Acksoni au Anna makinda au Mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania Gaudensia kabaka unazani nchi ingechewa na Wahuni? Waislamu uwezo wao ni mdogo Mama Samia hana washauri wenye uwezo wa kumuita na kumshauri Kwanza tuanzie na kijijin kwao mkoani kwao wote vilaza , niliyo kutajia uko juu wasinge weza kumsikiliza kikwete na kinana kwakila tu kwasababu makwao kuna wasomi huyo kikwete na kinana vilaza