Serikali ya sasa inaonekana sera yake rasmi ni kuwagawanya (divide and rule). Wagawanye uwatawale. Tuangalie anavyoitekeleza sera zake
Udini:- Waislamu against Wakristo.
Ukanda:- Zanzibar na Pwani against TZ Wabara wengine wote.
Ukabila:- Ametengeza kampeni ya kuwatukana watu wote wa kanda ya ziwa na kuanzisha majina ya kibaguzi, ukabila Sukuma gang kwa watu wote wenye mawazo mbadala, hajawahi kukemea huu upuuzi.
Matabaka: - Anawakumbatia Matajiri, kuwarudisha Mafisadi, misamaha kwa wauza ,unga wahuni wengine against Maskini kama Machinga, Mama ntilie etc.
Upendeleo:- Uwiano usio sawa kwenye Mikopo, Ajira, rasilimali, teuzi,uchagiaji wa pato la Taifa against Tanganyika
(Zenji vs Tanganyika )
Awamu:- Anawagawanya kwa awamu ya tano against ya sita.
Ndugu washkaji:- Shaka, Masauni, Mchengerwa, Kinana, Riz, Nape, Makamba
Anatumia zengwe, vitisho, ubabe, jela, visasi na kuzima Upinzani wowote ndani na nje ya Chama/ serikali. Rejea alivyotimuliwa Ndugai, walivyotemwa, Lukuvi, Kabudi Bashiru, Polepole, Kalemani na kuwekwa wapigaji, Kinana, Makamba, Riz Kikwete,Nape Nnauye.Shaka nk.
Mbowe aliwekwa ndani miezi minane kwa kudai katiba katolewa nje kwa masharti maalum, Hakuna kudai katiba tena, mshambulie hayati JPM.
Watanzania wote wanatakiwa kukaa kimya wakati vitu haviendi sawa, wapigaji wapo kazini, Watanzania wote tunatakiwa kuwa chawa wa SSH. kuimba mapambio, kupiga makofi, kusifu.
Vitu vya maana hajawahi kujishugulisha navyo, kujali. Sumu mto Mara, moto kwenye masoko, bei za pembejeo, chakula, mafuta, vifaa vya ujenzi, kodi na tozo kandamizi, kukopa hovyohovyo, ukabila, udini, ukanda, upigaji, umeme,maji, rushwa, kuwaachia wauza nganda, kuchoma masoko ya wamachinga, kuwatimua mama ntilie anahangaika kwa vitu visivyo na tija.