Rais ashauriwe apumzike kumnanga Rais aliyetangulia

Acha Ninukuu Maneno ya E1 akiwa Huko Kwa Mathias-Kibaha, mkoa Wa Pwani
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha Mawe Kwake, Nadhani Huu Ni Udhaifu Kwake Sana.
.
Ampumzishe Mzee Wawatu maana Hayupo na Hawezi Kujubu Mapigo Yake.
View attachment 2181745
Ukikuta binti au kijana kafeli form four division zero au four ya 32, mara nyingi huwa ni weupe sana kichwani, angalia ndugu,jamaa na rafiki zako, bora wa darasa la saba anaweza kuwa na akili Kama kishimba au msukuma kulio form four division zero au 32. Na hawa ndo wengi wanajiunga na uvccm, mazee ya uchu yanawafanya kitu mbaya uko chamani, mwishowe wanapewa vyeo na kujiendeleza na vicertificate mshenzi. Wana midomo sana kutokana na suruba walizopitia, ni sawa ukienda uswahilini au wanawake wanaojiuza lugha za uko utafikiri kichwani ni debe tupu hawana lugha za staha. Matusi vijembe ni jadi yao.
 
Kwani Samia form four alikula zero?
 
Acha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha mawe kwake, nadhani huu ni udhaifu kwake sana.
.
Ampumzishe Mzee wa watu maana hayupo na hawezi kujibu mapigo yake.
View attachment 2181745
Mwache ateme nyongo aisee. Yamkini akiwa makamu alikuwa anafanya kazi kwa mateso makuu ya kisaikolojia. Kama hayati alivyokuwa anawananga watangulizi wake. Kunangwa hakukwepeki.
 
Marehemu mwangosi,Dr.mvungi,Imrani kombe,chachage s.chachage no,mabomu ya olasiti yote hayo Ni mauaji kipindi Cha mwenda zake(magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii) etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ?
 
Acha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha mawe kwake, nadhani huu ni udhaifu kwake sana.
.
Ampumzishe Mzee wa watu maana hayupo na hawezi kujibu mapigo yake.
View attachment 2181745
Mbona huyo kichaa wenu kila uchao alikuwa akimnanga jk, hukuliona hilo?
 
Ndo kazi unayoifanya kumbe!. E1 maana yake nini we kilaza usiyejielewa?.
 
Siku zezeta SAMIA akifa nitapiga punyeto kwenye kaburi lake. Naapa kwa Allah (S.W.)
 
Ameshindwa kufanya kazi Kwenye wizara aliyopewa matokeo yake anatusababishia maumivu sisi wananchi Kwaio tunaona ni heri aondolewe awekwe mtu anaeweza
Kivipi mbona ana muda mfupi maumivu yapi? Naomba unifafanulie nielewe zaidi .....
 
Acha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha mawe kwake, nadhani huu ni udhaifu kwake sana.
.
Ampumzishe Mzee wa watu maana hayupo na hawezi kujibu mapigo yake.
View attachment 2181745
ama kweli kufa kufaana
 
Back
Top Bottom