Rais ashauriwe apumzike kumnanga Rais aliyetangulia

Rais ashauriwe apumzike kumnanga Rais aliyetangulia

Acha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha mawe kwake, nadhani huu ni udhaifu kwake sana.
.
Ampumzishe Mzee wa watu maana hayupo na hawezi kujibu mapigo yake.
View attachment 2181745
Kuna siku watasema sema kilichotokea.

Hata CIA huficha Siri kwa miaka 50. Lakini kwao haitafika
 
Kwa Sasa hivi 90% ya viongozi wakubwa wanatoka pwani na Zanzibar, pia 90% ya mawaziri na naibu katibu wakuu wanatoka pwani na Zanzibar, 95% ni Islam. Chunguza utaona huo Siyo ukanda na udini, sijui walikosana nini na JPM, maana siyo kawaida kwa mtu makini kkumunanga

boss wako aliyekupa hicho cheo kiivyo kuna kitu kisicho Cha kawaida. 2025 amwachiye Majaliwa. Maana Sasa hivi majizi yanatamalaki kila sector.
Samia ataongoza Hadi 2039, 2025 mchakato wa Katiba mpya ambayo itakuwa ya vipindi Saba Saba, kwaiyo Samia awamu yake ya Kwanza itahesabika mwanzo wa Katiba mpya kutumika
 
Ukikuta binti au kijana kafeli form four division zero au four ya 32, mara nyingi huwa ni weupe sana kichwani, angalia ndugu,jamaa na rafiki zako, bora wa darasa la saba anaweza kuwa na akili Kama kishimba au msukuma kulio form four division zero au 32. Na hawa ndo wengi wanajiunga na uvccm, mazee ya uchu yanawafanya kitu mbaya uko chamani, mwishowe wanapewa vyeo na kujiendeleza na vicertificate mshenzi. Wana midomo sana kutokana na suruba walizopitia, ni sawa ukienda uswahilini au wanawake wanaojiuza lugha za uko utafikiri kichwani ni debe tupu hawana lugha za staha. Matusi vijembe ni jadi yao.
Lile Tahila lenu mbona lilikuwa na PhD, lakini kutwa kauli chafu na matusi,na alikuwa kutwa kunanga awamu ya Nne, mbwwa nyie
 
Hizo ni hisia zako tu bwashee
Acha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha mawe kwake, nadhani huu ni udhaifu kwake sana.
.
Ampumzishe Mzee wa watu maana hayupo na hawezi kujibu mapigo yake.
View attachment 2181745
 
Kaibadilisha kisarawe na uempty wake
Kawabadilisha kifikra na kimaendeleo sasa wanaijua Elimu na washajua mtoto wakike anasoma na washajua Kuna kujenga shule waswahili Wanacho jua kucheza bao nakuvaa msuli na kuoa na kuacha
 
Acha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha mawe kwake, nadhani huu ni udhaifu kwake sana.
.
Ampumzishe Mzee wa watu maana hayupo na hawezi kujibu mapigo yake.
View attachment 2181745

Kama anayosema ni kweli, basi anatakiwa aendelee kutubu kwani alikuwa ni msaidizi wa mwendazake, aweke wazi maovu yote, ili ajitakase kujiweka huru.
 
Back
Top Bottom