voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Watumbuliwa na vyeti fake wote mtaendelea kulia mpaka mnaingia kaburini.Atanangwa tuu Ili iwe fundisho na Kwa wengine,hakuna kusingizia kwamba hayupo..
Shujaa wenu alipandikiza ukabila ndio maana hadi leo hii Rais anaweza tatizoka kumtengua mtu wa kabila fulani na kuonekana kwamba eti ni ukabila..
Maendeleo alibagua na upuuzi mwingine kama huo, yaani aliua kabisa tunu za Taifa.