Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,619
- 128,472
Akienda kanda ya ziwa akamnage wazi wazi...tujue kweli kazamilia.
#MaendeleoHayanaChama
Kanda ya ziwa ipi, mbona Lisu alimpa vipande vya moto huko huko kanda ya ziwa na bado Lisu akawa na nyomi la hatari? Angeheshimu box la kura ndio angejia nguvu yake kanda ya ziwa.