Rais ashauriwe apumzike kumnanga Rais aliyetangulia

Rais ashauriwe apumzike kumnanga Rais aliyetangulia

Acha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1 Wa Sasa Kila kukicha anazungumzia E1 ambae ameshatangulia mbele ya Haki.
.
Kila akipata forum anarusha mawe kwake, nadhani huu ni udhaifu kwake sana.
.
Ampumzishe Mzee wa watu maana hayupo na hawezi kujibu mapigo yake.
View attachment 2181745
Sukuma Gang wacheni noma zenu mtu wenu alikuwa muovu na mchafu.
 
Kulikuwa na sababu gani kuvisha baragashia juu ya mtandio wake

Screenshot_20220415-123805_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom