Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,282
- Thread starter
- #101
Ni kama umeachana na Demu wako Lakini Kila wakati unamzungumzia Tu ukiwa pahala.Rais KWa mtangulizi wake yupo sawa hakuna jipya amefanya,Maghufuli nje ya propaganda za kununua kuku wa elfu 20 KWa laki MOJA ,kujenga madaraja na chato uwanja wa ndege ila KWa pesa za mkopo period
.
Maana yake ni kwamba stress za mtalaka wako Bado Unazo na zinakutesa.