Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

In RED, you mean unwritten constitution bila shaka!
Mkuu kwani ni wapi kwenye constitution imeandikwa rais ni lazima awe kijana?

Ama hujafuatilia maoni ya baadhi ya viongozi wakuu wa nchi na wenye kuheshimika kwenye siasa?

Si afadhali hata utaratibu huu wa hii Issue ya kubadili ulikuwepo?
 
Naami akikaa kafiri kwenye urais waislam watapata misukosuko mingi sana,muembe chai na kule pemba ni ushahidi tosha.
Hapo sasa.Poleni sana mliopiga kampeni kwa rais anayeondoka, maana nyie ndo pengine mtakaosababisha kigezo hiki kiwekwe maanani ili kulinda umoja na mshikamano wetu kama Taifa!
 
Ilikuwa Kijana sasa linakuja suala la dini. Rais atachaguliwa kwa mujibu wa katiba, full stop. Vigezo havitaangalia, ujana, uzee, dini, jinsi na mambo kama hayo.

Rais fisadi hata awe wa dini gani au mpagani, hanufaishi watu wa dini yake. Ufisadi unaadhiri watu wote bila kujali dini, jinsi au umri wao. Mimi mkristo lakini bora aje Rais muislamu muadilifu kuliko mkristo fisadi!
Ninauhakika kila dhehebu lina uwezo wa kutupatia rais mzalendo na asiye fisadi!

Mkuu sijasema kuwa kigezo cha kwanza kiwe ndo dini!Bali ni lazima kwanza aqualify kwa mujibu wa katiba ya nchi.

Wazalendo wenye hizo qualifications za kuongoza nchi kwa mafanikio, wako kwenye dini na makabila mbali mbali!
 
Baada ya kuhitaji raisi atakaeleta mafanikio ndio kwanza mnahitaji raisi wa dini fulani.
Basi muwekeni kakobe
 
kwa kweli, una ka point. Ila kuliko mamvi bora haka ka utaratibu kasifuatwe.
 
Ukristo au uislam si ipoja, hoja ni yule mbeba dini na kuingia nayo ikulu. Ukibalance mambo ya dini tena hasa ukiyaignore na kuwathamini wote pasi kubagua, Tz wil remain a peaceful country 4ever ever
Mkuu, ni kweli inawezekana ikawa siyo hoja kwa maoni yako.Lakini hili jambo lipo wazi kabisa!

Unadhani awamu Iliyopita angekuwa mkristo hali ya kisiasa nchini ingekuwaje?Tusijitie upofu wa kujitakia mkuu!

Hivi unadhani amani tunayoipreach misingi yake ni Ipi?
 
Imeandikwa amtumainie mwanadama amelaaniwa.Kamb yako inajulikana leo vipi tena kweli nimeamini neno la Mungu ni jana na leo.

Hata Kijana, kuanzia jina ni Christian name, mama ni Christian, Mke ni Christian, watoto ni Christian, na kanisani ataingia!. Uislamu wake ni kwa Baba tuu kama alivyo Baraka Hussein!. He is fit in every aspects!.
Pasco
 
Katiba ya zamani haijaandika kubadilishana wala hatutapitisha hata kwenye rasimu haipo. Mwaka 2015 sio wa hija za kikirsto hata tutake rais mkristo.
Haya ni maoni ya kutaka upendeleo wa namna fulani ndo umetufikisha hapa. Mara Nyerere alipendelea wakristo, mara Kikwete anapendelea waislamu. Kwetu muhimu ni kiongozi atakayeongoza kwa msingi wa katiba na utaratibu. Wakiongozana waislam kumi wasio mafisadi na wenye kujali mahitaji ya wananchi bila kujali imani zao itakuwa vyema, hivyo hivyo hata kwa wakristo. Hizi kelele ni ombwe la usawa ndo maana wadini hufikiri akija wa namna yao watapata ahueni kwa kuwapendelea.
Na utu uzima wangu huu sijaona rais bora kwa mkristo wala muislam. Tupanuke kifikra nje ya macho ya upendeleo, utu wEema, uadilifu ni haiba ambazo wanazo hata wasioingia makanisani na msikitini wakiwa heri kuliko mashekh na makasisi wanaotusalisha.

hebu kula like yangu mkuu safi sana
 
kwa kweli, una ka point. Ila kuliko mamvi bora haka ka utaratibu kasifuatwe.
Pamoja na kwamba lengo langu halikuwa kuwajadili wagombea wa ccm, bado nadhani ni muhimu kabisa kupata kiongozi atakayekubalika na dini zote!

Yes awe wa dini ya tofauti, lakini apate sapoti na akubalike na wananchi wa kada zote!

Unaweza tu ukasema mamvi hafai, halafu tukapata hasara kubwa zaidi kwa kuacha utamaduni ambao kwa kutambua ama kutokutambua, umetudumishia amani yetu kama Taifa!

Jaribu ku weigh the risks za huyo mamvi vs kutokufuata utaratibu unaodumisha amani miongoni mwetu!
 
Mkapa,kikwete wote kutoka tanganyika sasa ni zamu ya wazanzibar,muungano ni wa nchi mbili.
 
In RED, you mean unwritten constitution bila shaka!
Mkuu unwritten constituion ni tofauti na unwritten rules! Kuna wakati sikuiona hii thread nilipo t aka kuijibu hii hoja yako.Nikaanzisha thread nyingine ambapo nilifafanua utofauti huo!

Unwritten rules ni taratibu tulizojiwekea ambazo haziko kisheria wala kikatiba!

Mfano ccm walipoamuwa kuwa spika sasa awe mwanamke! Ama wanavyosema kuhusu ujana nk.Hizo ni unwritten rules.
 
Itafuata vigezo ndani ya katiba na kamwe dini haitakua moja ya vigezo.
 
Baada ya kuhitaji raisi atakaeleta mafanikio ndio kwanza mnahitaji raisi wa dini fulani.
Basi muwekeni kakobe
Mkuu pitia tena mada usome kwa utulivu ili upate kuelewa! Dini siyo kigezo cha urais! Ila tunaweza kupata wenye vigezo vya kuongoza ktoka kwenye hizo dini!

Kakobe hayupo kwenye siasa.Na ndiyo maana hatukuweka mufti badala ya JK!

Haya ni mambo yanayohitaji busara na hekima!
 
Hahahahahahahaha,kile kibabu cjui kimekupa nn mpaka unakihusudu.Nchi hii haiendi kwa wachagga mkuu
raisi ajaye ni dokta slaa hao wengine wanajisumbua kupoteza muda wao bure
 
mgogoro wa kidini uliotokea kanda ya ziwa ulishindwa kutatuliwa na mwishowe nguvu ikatumika ila kila pande ilibaki na hitimisho lake,,kama mjuavyo kanda ya ziwa ndio huchagua raisi kuanzia CCM mpaka chaguzi kuu ya NEC,hivyo basi wakristo walikua na hitimisho la raisi hatakua muislamu tena,na mabandiko kusambazwa makanisani
 
Kwa wakristo Hata Wakiongoza Waislamu 200,Haina shida ILA KWA WENZETU "MFUMO KRISTO"Utawaka MOTO NA PATACHIMBIKA.....

Hivi mathalani WAKIRISTU nao wakianza kudai kwamba sasa MAKAMU WA RAIS AJAYE LAZIMA awe Mkiristu itakuwaje? Just thinking aloud!
 
Back
Top Bottom