Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

Wewe hujalijua Kanisa.Hakuna kinachoshindikana kwake.Kampeni zilipigwa Misikitini kuwahadaa waislamu kwamba Wamchague Mwislamu mwenzao ili waweze kumshinda Dr.Slaa.Ukweli ni kwamba Waislamu walitekwa akili.Ukitaka kujua Mziki wa Kanisa CCM imependekeze Muislamu 2015.

Acha ufala kanisa kitu gani bwana nchi hii ni ya watanzania wote na tukivuruga amani wote tutateseka una akili fupi sana , nchi hii kiongozi akipatatikana tunaangalia ustawi wa nchi na sio kanisa wala msikiti, raisi hata akiwa pagani tutamuheshimu tu
 
Kuna watu naona wanataka
tuwe natawala za imani moja tu, wanakuja na kujificha kwa kusema hoja
yangu ni ya kidini, simply kwasababu wanataka waendelee kupata mgombea
mwenye imani kama za kwao indefinetly!wanadai eti si wadini, si afadhali
ninayesema tubadili kama ilivyo kwa utamaduni wetu na ikishindikana
hata kama ikiwa mpagani?

Shame on them!

huo utamaduni umewekwa lini ? na nakwambia anakuja muislamu 2015 lazima ujinyonge au kimbia nchi.
 
Ilikuwa Kijana sasa linakuja suala la dini. Rais atachaguliwa kwa mujibu wa katiba, full stop. Vigezo havitaangalia, ujana, uzee, dini, jinsi na mambo kama hayo.

Rais fisadi hata awe wa dini gani au mpagani, hanufaishi watu wa dini yake. Ufisadi unaadhiri watu wote bila kujali dini, jinsi au umri wao. Mimi mkristo lakini bora aje Rais muislamu muadilifu kuliko mkristo fisadi!

Kaka una busara saana; ila sijui kama utasikilizwa
 
Ndio mheshimiwa bwana SAID YAKUB suala la uraia wa nchi mbili ni muhimu sana kwa mataifa yetu machanga ya kiafrika,kuna mengi sana nchiinawezakufaidika kama zoezi hili litafanyika.

Tunawezajifunza sana kutoka INdia na Pakistani ambao wenzetu walianza zamani sana mambo haya na kuna programs nyingi sana zilijitokjeza ambazo zimeleta faida kubwa sana katika nchi hizo.

General ZIA ULhAQ alifaulu sana kwa kutrumia pkis wanaokaa nje ya nchi ambao walileta mafanikio makubwa sana ya kiuchumi nchi humo, na sisi kama kweli serikali italitupia macho suala hilo basi tunawezakufaidika sana. Angalia suala la wataalam wa nje ,wemgine hawana elimu kama resumes zao zinavyojieleza na wapo hapa kutunyang'anya pesa zetu ambazo sisi wenyewe tunaweza tukawa na uwezo kama wao au zaidi ya o kma wananchi

peace!!!

Hivi kwa akili Yako ya kawaida waungane wakristo na waungane waislam kundi Lipi litakua na watu wangu??? Nani atashinda hapo?
 
Kuna kadesturi fulani humu nchini kuhusu Nafasi za ngazi za juu; Mzanzibari, Mbara, Mkristo, Muislamu, no qualification basis, The direction we are going; Loading...
 
Utakuwa ni ujinga tukikubali kuingiza udini na ukabila kama mnavyofanya, why divide and rule, mkuu ni raisi kubomoa lakini si raisi kujenga kama unavyodhani

CCM waliingia madarakani kwa propaganda ya udini na siku kikwete anatangazwa neno la kwanza akasema "waandishi wa habari tusaidianeni kuondoa swala la udini"ambalo akulikiri kabla bali alitambua lipo baada ya kutangazwa kushinda.
Sio kweli mkuu wangu Kikwete alitanhgazwa kuwa chaguo la Mungu na Wachungaji wa Kikristu. sasa huu ndio ukweli na utamaduni anaozungumzia jmushi1. Na facts ni kwamba Kikwete alipambana na Mbowe mwaka 2005 hapakuwepo na Udini isipokuwa CUF ndio waloshutumiwa hivyo, so was it Kikwete against Islaam? hapana ni sisi wananchi na wanachama wa vyama hivi tuloyazua hayo katika kusifia ama kupondana.

Na hata walipopambana na Dr.Slaa kampeni za pande zote mbili zilibadilika kwani katika siasa ni lazima image ya mgombea ibomolewe (lazima wamshushe hadhi) kuonyesha udhaifu na ubaya wake, ndio maana siasa ni mchezo mchafu. Dr. Slaa alikuwa Padre na hiyo ndiyo ilokuwa sehemu pekee CCM wangeweza kupenyeza propaganda zao. Hivyo huwezi kulaumu upande mmoja tu isipokuwa tutafanya nini? Na ili tuipate katiba bora zaidi tunatakiwa kujiuliza tumejifunza nini kutokana na chaguzi za mwaka 2005 na 2010 dhidi ya UDINI na UKABILA ambao hadi leo tunayaona madhara na makovu yake.
 
huo utamaduni umewekwa lini ? na nakwambia anakuja muislamu 2015 lazima ujinyonge au kimbia nchi.
Soma bandiko la kwanza tena mkuu!

Nimesema pia kama tukipata kiongozi ambaye ana qualifications zenye kutramp utamaduni wetu, basi hilo la kuwa na rais muislam come 2015 linawezekana.Nani kasema sipendi rais muislam?

Tumia uwezo wa kufikiri badala ya hisia mkuu! Kwanini nikimbie nchi kwasababu rais ni muislam?
 
Sio kweli mkuu wangu Kikwete alitanhgazwa kuwa chaguo la Mungu na Wachungaji wa Kikristu. sasa huu ndio ukweli na utamaduni anaozungumzia jmushi1. Na facts ni kwamba Kikwete alipambana na Mbowe mwaka 2005 hapakuwepo na Udini isipokuwa CUF ndio waloshutumiwa hivyo, so was it Kikwete against Islaam? hapana ni sisi wananchi na wanachama wa vyama hivi tuloyazua hayo katika kusifia ama kupondana.

Na hata walipopambana na Dr.Slaa kampeni za pande zote mbili zilibadilika kwani katika siasa ni lazima image ya mgombea ibomolewe (lazima wamshushe hadhi) kuonyesha udhaifu na ubaya wake, ndio maana siasa ni mchezo mchafu. Dr. Slaa alikuwa Padre na hiyo ndiyo ilokuwa sehemu pekee CCM wangeweza kupenyeza propaganda zao. Hivyo huwezi kulaumu upande mmoja tu isipokuwa tutafanya nini? Na ili tuipate katiba bora zaidi tunatakiwa kujiuliza tumejifunza nini kutokana na chaguzi za mwaka 2005 na 2010 dhidi ya UDINI na UKABILA ambao hadi leo tunayaona madhara na makovu yake.
Kwanini unadhani ccm waliitumia hiyo hoja ya kwamba Slaa aliwahi kuwa padri halafu ukaona si udini!?

Ama mlidhani anaenda ikulu kusalisha?
 
Kumekuwa na propaganda maarufu humu za kujipigia upatu wa urais kwa misingi ya ukristo na ujana. Mbegu hii ni hatari kwa ustawi wa taifa letu changa. Tuikemee naa kuikemea kwa nguvu zote.

cc.
pasco
 
msaada tafadhali. kwani urais wa kikwete unaoelekea mwishoni tunaweza kuuongelea vipi katika eneo la udini? je yupo neutral, au biased? to what extent? kwani naamini majibu ya maswali haya ndo yanayoipa hoja hii relevance au vinginevyo.
 
Leo umejianika huku ? Ulipokuwa unafanya wewe dhidi ya chadema hukuona?
 
Jibuni hoja iliyopo mezani

Hii sio hoja ni vihoja....mleta mda ni mchochezi mkubwa kwa jukwaa hili na tena mods wanakulea sana wewe...matatizo yote hayo yanatokea ndani ya chama chako,nendeni kwenye vikao vya ndani mkayaongee huku na sio kutuletee sisi huku
 
Back
Top Bottom