Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,324
- 18,484
Jela na hospital sizo za kumcheka mtu ni mtakuja paleKizimbani pale pamejengwa kwa ajili ya watu wala siyo nyani.
Na kila mtu ni mteja wa hapo katika muda tofauti wala hutakiwi kumcheka mtu ambaye yupo kwenye hilo eneo.