Ukianza kutafuta ugomvi, au ushari, katika ndoa huwezi kukosa sababu hata siku moja. hivyo, hiyo formula hapo juu ni formula hai ya kutafuta ugomvi usio na mwisho!!! kwi kwi kwi!!
Kwa haraka mwanaume aliye siriasi kuiba, na hataki ndoa ivunjike huwezi kumkamata, ukiona umemshika ujue amekudharau na anataka uhusiano uishe.
njia kubwa ya kuiba ni kuzidisha yale mambo unayoyapenda, mfano anajua unapenda kutoka ijumaa, basi hatakosa kukupeleka hata siku moja, na mazawadi kibao.
Outing zake binafsi zitakuwa saa ambazo wewe uko bize na shughuli na humuhitaji kabisa, kama jumamosi asubuhi, au alhamisi mchana.
Anyway kumchunguza bata utaishia kutomla!!!
Revived Interest in Appearance: If your partner suddenly undergoes a makeover of sorts, in which he spends much more time on his appearance, it could mean that he is trying to impress someone new. If he all of the sudden ditches his old khakis and sweats for something more stylish, it might be because he is trying to look his best for a new woman.
Missing in Action: If there are large periods in which your partner is absent and unaccounted for, it could be because there are mischievous motives behind his AWOL behavior. Whether it is a run to the corner store that takes over an hour, or whether he is constantly "working late," a missing husband could mean something sinister.
Mysterious Texts or Phone Calls: If you notice mysterious texts or phone calls on your phone bill, or if your husband tries to hide the phone bill or his cell phone from you, it might mean that there is a new love interest in the rafters. Additionally, if he spends more time on the computer, or tries to hide the screen he was looking at when you walk in the room, this is a good indicator that he might be philandering via the worldwide web.
Of course, the best way to discover what your partner is up to behind your back is to communicate openly and honestly with him. Share your fears regarding his fidelity and try to discuss the matter before you go crazy with worry. Remember, things are not always as they seem!
wengine wana style ya peke ... kama ni mwanamke na ana namba zake za siri anazisave na jina la mwanamke and vice versa ... unaweza usimgundue hapo kwa hapo kama mtu mwenyewe hatumi sms .. ndo kabisa ... mume wala mke hashtuki haraka
ila za mwizi arubaini ... simo!!!!
wengine wana style ya peke ... kama ni mwanamke na ana namba zake za siri anazisave na jina la mwanamke and vice versa ... unaweza usimgundue hapo kwa hapo kama mtu mwenyewe hatumi sms .. ndo kabisa ... mume wala mke hashtuki haraka
ila za mwizi arubaini ... simo!!!!
Hivi labda unamchunguza hivo mumeo kwanini mtu ajiulize. Mimi nahisi ni uoga. Uoga wa nini wa kumpoteza kwa sababu hujiamini. Lakini unapokuwa unajiamini then hamna hata haja ya kujali kuwa anacheat. Na siku zote yale tusiyoyapenda lakini tunayafikiria sana ndio hayo huwa yanatokea kwani tunayajengea mazingira " mawazo huumba"
It depends, wengine ni tamaa tuu, wengine ni sababu ya wake au waume zao wanakero kupita kiasi,thats why someone ana decide to cheat.
je utamjuaje mwanamume anaetoka nje ya ndoa au mwananume mwenye vimada nje.