Raha ya kutongozwa...lol

Raha ya kutongozwa...lol

Kutongozwa ina raha yake hasa umpate mwanaume anayejua maneno ya kukusifia tna mengne ya uongo loo. utafurahi
Siku hizi hakuna tunambiana tuu

Haaah haaah ICHANA umenichekesha sana, mnaambiwa nini tu kama hamtongozwi?
 
Last edited by a moderator:

Wanaume wako wapi watongozaji?? Hadi ning' ate vidole, nikatekate majani, nisugue na miguu chini kwa jicho LA aibu, barua za kuchora hadi moyo, ukinywa maji unaniona....
Now day simple wassap, badoo, fb mnachat Mara tuonane Mara guest ushavuliwa bila kutongozwa
Mda wa kutongoza upo wap??
 
Sikuhizi tunamalizana kwenye mtandao kama Whatssap nk. Tukionana ni finishing tu, sijui ninapokukusomesha wewe unakuwa kwenu unakuwa ktk hali gani, ila ukiombwa no ya simu umetongozwa tayari.
 
huyu anaotaje bila kulala
604165_495948137109552_1315437750_n.jpg
 
Sikuhizi tunamalizana kwenye mtandao kama Whatssap nk. Tukionana ni finishing tu, sijui ninapokukusomesha wewe unakuwa kwenu unakuwa ktk hali gani, ila ukiombwa no ya simu umetongozwa tayari.

Na hii inawapunguzia maksi za kuwa creative na tunaendelea kusamarize vitu hadi vya chumban...ukiombwa no jua kapenda...mkachat ....ukisikia kuonana juu ndo game kupigwa. Baada ya week kuachana
 
Ktk suala la chumbani Sasa uvivu unatakiwa kuweka pembeni, unatakiwa Kuwa creative, kumsoma mwenzio na kumshambulia ipasavyo hadi awe hoi, ukileta uvivu au kinyaa mbona utasaidiwa sana hapa mjini.
 
Back
Top Bottom