mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,463
- 3,932
Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao...
"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"🤦♀️
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...