Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

Huyu ni rafiki yangu Nimeosoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao.....

"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"

Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Ushauri gani. Afunge kurasa. Tena ashukuru kaambiwa live. Wengine hawasemi wanakufanyia vituko mpaka uache mwenyewe.

Akaze moyo, asonge mbele. One day atakuwa sehem sahihi
 
Huyu ni rafiki yangu Nimeosoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao.....

"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"🤦‍♀️

Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Na yeye amwandikie ujumbe, sorry msj sio yako.Halafu amweke blacklist na afute katika jina kwenye namba zake.Asisahau kunialika akitaka kuoa tena
 
Hahahahahahaha
Hiyo ndio code , aache ujinga Ila kama Hana Moyo mgumu asifanye hivyo inaweza kumgarimu , anaweza kumuita wakakutana gheto halafu jamaa yako baada ya kupewa show Akaanza kulia Lia kwa kuomba msamaha , itaudhalilisha ukoo wao wote
 
Hio hali mimi nishaizoe kila nikipoteza ajira au mkataba wangu wa kaz hua naambiwa hayo maneno aliyoambia mshkaji wako hii hali sijui inasababishwa na nin wazee
 
Huyu ni rafiki yangu Nimeosoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao.....

"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"

Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Sasa ushauri wa nini,mbona kamrahishia kazi?? Aangaloe kwingine huyo aendelee kumla
 
Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Option zipo mbili;
1. Wisely, Akubali kuwa mwisho umefika na akubali wawe just a friend, atamsahau taratibu!
2. Ki gang zaidi-Fanya juhudi mbembeleze kwa gharama yoyote akubali kukupa mashine , then panga siku umpige mashine ukimaliza unamwambia nilitaka nikugegede mara ya mwisho kwa kifupi sasa mm ndo nimekuacha mazima!

Next time mwambie asiweke moyo wote kwa mtu mmoja augawe!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom