Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

Hapana hapana umekosea.......Bora tuachane.....yamenishinda mapenz

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kusema Bora Tuachane
Ndo Kauli Inayoniuma Kila Nikikumbuka
Tusitafutane Sikujua
Narusha Jiwe Ndege Ukapeperuka.
Tusijuane Nlisema Kwa Hasira
Leo Ndo Najuta Usinitukane
Namba Yangu Nyingine Usije Futa.
Sipendi Tuchukiane,
Naugua Kila Nikikumbuka Zamani.
Sisemi Turudiane Najua Kwako Ni
Ngumu Haiwezekani...

Balaas
 
Kusema Bora Tuachane
Ndo Kauli Inayoniuma Kila Nikikumbuka
Tusitafutane Sikujua
Narusha Jiwe Ndege Ukapeperuka.
Tusijuane Nlisema Kwa Hasira
Leo Ndo Najuta Usinitukane
Namba Yangu Nyingine Usije Futa.
Sipendi Tuchukiane,
Naugua Kila Nikikumbuka Zamani.
Sisemi Turudiane Najua Kwako Ni
Ngumu Haiwezekani...

Balaas
mapenzi yanauma eeh na roho sio chuma na mapenzi hayana commando

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao...

"Am sorry Dear I know una nia njema kabisa na mimi lkn siku zote ukweli umuweka mtu huru nimekua mjinga nashindwa kukwambia ukwel kwamba nipo kwenye mahusiano lkn naona nnachokifany ndio naharibu zaid nakua mtumwa me nipo kwenye mahusiano aisee
Am sorry najua nimekupotezea muda lkn kiukwel hali halis ndio ipo ivo"

Jamaa yangu anaomba Ushauri yakinifu. Mimi kama mdau wa JF nikasema nilete humu ndani na Ushauri wenu nitamuonyesha piaa...
Mtu hakutaki ya nini kumlazimisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom