mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 483
Nadhani TCRA wanazungumzia MAHOJIANO, siyo HABARI! Au siyo jamani?Habari zote zinazohusu CCM huko TBC zina mizania???
Tuanzie hapo kwanza.
Nadhani TCRA wanazungumzia MAHOJIANO, siyo HABARI! Au siyo jamani?Habari zote zinazohusu CCM huko TBC zina mizania???
Tuanzie hapo kwanza.
TCRA swali Kuu kwenu huwa mnalenga nini katika kuwahoji wamiliki wa vyombo vya habari kuhusu maudhui ?DW Kiswahili - Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian Musiba,... | فيسبوك
Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian Musiba, ametaja orodha ya watu hatari kumi katika usalama wa taifa la Tanzania. Katika orodha hiyo yumo Yericko
Sawa mkuu, lakini nijuavyo, unaowaita ‘mabeberu’ (Mungu akupe rehema) wana uhuru mkubwa wa upashanaji Habari, na kuwalinganisha na Sisi si Sawa na kufananisha kifo na usingizi!It’s an aspect of media ethics, common knowledge.
mahojiano wanayokua wanafanya na Dr.Bashiru/Polepole/WanaCCM hapo TBC huwa wanaweka mizania kwa kuwahoji na Wapinzani ili kuwe na balance ya mahojiano husika?Nadhani TCRA wanazungumzia MAHOJIANO, siyo HABARI! Au siyo jamani?
Wanahabari Pascal Mayalla na GENTAMYCINE njooni mfafanue hii taarifa.
ni miongoni mwa Taasisi za mwanzo kushughulikiwa baada ya ccm kung'olewaNaona sasa ni rasimi, TCRA ni taasisi ya CCM .............!!
Hii nchi iko chini ya utawala wa kishamba sana, huu ubabe peleka nyumbani kwa familia yako.
Hi ndio kazi pekee waliyobaki nayo
Hata Maisha ya JF yaliyobakia sio marefu sana kwa sheria hizi!!! Halafu Kuna watu wanaiunga mkono hii serikali na sheria zake dhalimu.
Unacheza wewe soma hizo kanuni na sheria zake ndio utaelewa. Unaweza kuona labda blogs zao watu wanaandika ovyo kama vile amna control.Sawa mkuu, lakini nijuavyo, unaowaita ‘mabeberu’ (Mungu akupe rehema) wana uhuru mkubwa wa upashanaji Habari, na kuwalinganisha na Sisi si Sawa na kufananisha kifo na usingizi!
KWAKWELI UINGILIE KATI KABLA YA UCHAGUZIAisee... inabidi mkono wa Mungu uingilie kati, maana yajayo hayafurahishi!
Watanzania watakwambia media zinaonewa wapitie hizo kanuni za regulator wa mabeberu ☝sheria zetu zina afadhali. Upuuzi BBC unaofanya africa awawezi thubutu kuufanyia kwao.
We ukimsikiliza mzungu kwenye kila kitu utaingia chaka huko kwao UK kwenye muungano wao wame devolve mambo kibao isipokuwa vitu vitano tu vya msingi moja kati ya ivyo ni BBC kwanini wanajua ni namna gani media inaweza tumiwa vibaya kuaribu nchi yao kwa iyo kama chombo cha propaganda za serikali kiko kwenye control ya central government.
Huku kwetu wanataka kila aina ya ujinga na upuuzi wananchi wasomeshwe na wasikilizishwe bila ya kujali midhani ya habari, mtu akitaka kusema uongo sawa na upuuzi wowote; serikali yoyote makini duniani aiwezi acha huo upuuzi ata wanaojiita liberal democracies media ni sehemu moja wasiyochekea mambo hatari yanayoweza wagawanya au hata kuwa sehemu ya kuchochea ujinga ndani ya jamii.
Tutafika tu Mungu anazo njia elfu elfuWameambiwa na TCRA ni marufuku kwa vituo vya Radio na Tv za ndani kujiunga na hayo mashirika ya nje bila kupata kibali. Kazi kweli kweli, yaani ni pini kwa kwenda mbele kuelekea uchaguzi.
Serikali hii tuungane kuiweka pembeni mwaka huu!
La sivyo miaka mitano ijayo itakuwa ya hovyo Sana!