Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,757
- 29,310
Aisee chanzo kikuu cha machafuko huku africa ni sisi wenyewe. Wenyewe kwa wenyewe.Mkumbuke tu, vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi ndio huwa chanzo cha machafuko na kutoweka kwa amani katika mataifa mengi duniani hasa Africa, hii ni hatua nzuri kudhibiti mitafaruku inayotarajiwa kutokea...
Na tunaomba serikali ifungie na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter.
Kwanza tamaa ya uongozi kwa baadhi ya marais..
Vyombo vya habari vya ndani. (Rwanda na burundi ni mfano mzuri.)