Radio Free Afrika watakiwa kujieleza kwanini wasiadhibiwe kwa kurusha kipindi cha 'Amka na BBC' bila mizania

Baada ya kuiondoa chaneli ya Citizen kwenye king'amuzi cha StarTimes, kwasasa inapatikana kwenye king'amuzi gani?
 
Cha ajabu, pamoja na kunyamaza kujifanya watakatifu, bado Cha Moto wanakipata 😂😂😂
 
Sasa kipindi ni cha BBC, hao Rádio Fred wamejiunga! Sasa kwanin wasiwajibishwe BBC?
Mawili wangeacha wananchi wakaangalie wenyewe BBC YouTube channel.

Au kama ni utaratibu wao kurusha wakati wanajua awana control na content. Kama kuna utata kabla siku aijaisha kwenye taarifa yao ya habari ata jioni wangejitahidi kupata walau upande wa pili au ata kuonyesha walijaribu.

Regulations zinasema show evidence of effort to get the other side sasa kama baada ya kurusha kipindi msemaji waserikali alitafutwa ajapatikana hakuna la kufanya zaidi kuelezea tu kwenye chombo chao walijaribu ikashindikana.

Wao hawakufanya hizo jitihada kwa mujibu wa TCRA ndio maana wanatakiwa kwenda kujielezea, who knows labda kwenye kujitetea wanaweza toa ushahidi wao.
 
Hama nchi.
Mkiwa CCM mnajiona mna haki na wasio CCM hawana haki! Mwisho wenu umefika.

Mmeleta siasa za hovyo hovyo,siasa za chuki, ubaguzi, uchafuzi, matusi, kejeli, watu wamekaa kimyaa, sasa mnataka tuhame nchi kisa hatukubaliani na nchi inavyoendeshwa!?

Yaani mmeua umoja wa kitaifa, mshikamano wa kitaifa na upendo wa kitaifa, halafu watu wakisema, mnawaambia wahame nchi, kweli mmevimbiwa, na wakati wenu umeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu pekee ambayo watakaofurahia uongozi wake ni wale ambao wako karibu na mkulu/wateule kwa sababu na wao hawana namna zaidi ya kusifia, otherwise ni nchi inaendeshwa kipuuzi Sana sijapata kuona Tanzania.
Sasa jamani mtu au stesheni ya utangazaji ikikosea wasiulzwe eti tu walikuwa wakimhoji Lissu au walikuwa wakirusha habari za Lissu!? Tuelewane TCRA watamhoji yoyote hata kama akiwa anamhoji Rais Magufuli as long akama atakuwa amevunja sheria husika. Vinginevyo ni vurugu tu.
 
Back
Top Bottom