Sio unanunua jina , kweny marketing kuna kitu kinaitwa marketing segmentation.....ukienda further more ndani yake kuna kitu kinaitwa niche market,,,, hilo ni aina ya soko ambolo targeted people ni wachache mno hivo hupelekea vitu kutengenezwa Kwa ajili ya hao tu Na huwa bei kubwa Sana.... uzuri wa hilo soko muhitaji anaweza enda kiwandand kuelekeza jinsi anavotaka kitu kitengenezwe.......Kwa hiyo basi makampun Kama Gucci hutumia hiyo!!!!!! Ila ukweli buti baya hilo
Sent using
Jamii Forums mobile app