wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Kwani wewe sio mpare tenaAbeeeh ooh nilijua umetuita hapa wanayamwezi wote.
Gucci Kasie.
Kasie tosimbana maboko.
Sijui mwenyewe yukwapi. ....
Kwani wewe sio mpare tenaAbeeeh ooh nilijua umetuita hapa wanayamwezi wote.
Gucci Kasie.
Kasie tosimbana maboko.
Sijui mwenyewe yukwapi. ....
Versace Kasie
hahahaha na ww ni mnyamwezi kumbe
Kwani wewe sio mpare tena
hahaha
Worap...Yooooo Kasibaa
Aisee... hongera zako maana mi nilikuwa najua wee ni dadaake na mshanaSijawahi kuwa mpare hata kidogo. Vionjo tuu vya Kasie Matata.
Weka original tuone nawaza tu kuwa unayo.That thing is fake AF!
umenikumbusha mbali sana 2nd yr kipindi hicho marketing managementSio unanunua jina , kweny marketing kuna kitu kinaitwa marketing segmentation.....ukienda further more ndani yake kuna kitu kinaitwa niche market,,,, hilo ni aina ya soko ambolo targeted people ni wachache mno hivo hupelekea vitu kutengenezwa Kwa ajili ya hao tu Na huwa bei kubwa Sana.... uzuri wa hilo soko muhitaji anaweza enda kiwandand kuelekeza jinsi anavotaka kitu kitengenezwe.......Kwa hiyo basi makampun Kama Gucci hutumia hiyo!!!!!! Ila ukweli buti baya hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaa nilijua tuuuuu! Wacha weeee ,nigawie cha kufanyia majoeji
Waliomuuzia nao walifanywaje? What if nikisema sijui tofauti ya feki na og?I know na umelielezea kwa uzuri ila all in all jina ndio linauza hapo kwa mfano ukienda Italy utakuta watu wanauza mabegi ya designers wote ambazo ni fake
Lakini hata ukiwa mtalii ukanunua hayo mabegi unapigwa faini ya nguvu
Kama mama mmoja kanunua Louis Voitton bag kalambwa €1000 on the spot
Sent from my SM using Tapatalk
Vya kanye vibayaavingine ni kama yeezy shoes hata mimi ukinipa bure sichukui labda kwa ajili ya kufanyia mazoezi