Nahitaji kutembelea taifa la Canada, naomba kujuzwa kuhusu taifa hilo

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,381
5,223
Kuna rafiki yangu nilifanya naye kazi tukiwa katika shirika la WFP lakini baada ya COVID 19 ikaharibu mambo na hatujaonana tena.

Sasa mwezi wa 7 amenialika kutembelea huko na kufurahia, niko nafatilia passport japo kuna usumbufu naupata.

Naomba mdau aliyefika taifa hilo anielekeze maisha yakoje, utamaduni, tabia gani nijiepushe nazo.

Mimi napendelea sana kupiga kilaji (pombe) sijui hii huduma nitapata au ni kama Zanzibar.

Tuombeane heri nikamilishe mipango ya safari na me nikapaone huko duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu nilifanya nae kazi tukiwa katika shirika la WFP lakini baada ya COVID 19 ikaharibu mambo na hatujaonana tena

Sasa mwezi wa 7 amenialika kutembelea huko na kufurahia , niko nafatilia passport japo kuna usumbufu naupata

Naomba mdau aliyefika taifa hilo anielekeze maisha yakoje, utamaduni, tabia gani nijiepushe nazo

Me napendelea sana kupiga kilaji(pombe) sijui hii huduma nitapata au ni kama Zanzibar

Tuombeane heri nikamilishe mipango ya safari na me nikapaone huko duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kilaji kama kawaida ni pesa Yako tuu.
 
Surely unauliza kama kuna pombe Canada? Yaani umewaza nini hasa? 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom