Raba mbaya kama hii eti $ 98

Raba mbaya kama hii eti $ 98

Mkuu RGforever , Ondoa kusema "masikini ndio tulivyo" Mimi naongelea ubaya wa kiatu kilivyo na bei ilivyo angalau kwa bei hiyo tungeona hata kiatu cha maana.

Au macho yangu mabovu?
Lkn ubaya uko machoni pa mtu bro. Hio raba iko mwake kabisa
 
Waliomuuzia nao walifanywaje? What if nikisema sijui tofauti ya feki na og?
Wanakamatwa sana na sheria inakuambia haina mjinga
Yaani ni vurugu kila siku watu wanakamatwa
Kweli wengine maskini hawajui na wametoka hadi Australia lakini wanapigwa faini tu


Sent from my SM using Tapatalk
 
Kuna watu wanapenda gucci balaa, mimi namkubal kiaina sababu nna madizaina wangu wengine kama Louis V, Ila Kuna jamaa IG anajiita @prettymikeoflagos aisee anapenda gucci balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom