Sharif
JF-Expert Member
- Mar 13, 2011
- 2,450
- 1,781
eti wanapewa uongozi watu wanaofanya majaribio ya kuongoza..
kizungu kilichompa elimu hakijui..
sheria hata za ofisi yake hazijui..
ushauri hataki..
toba toba..
tutaogopa hata kujitambulisha nje,maana kiongozi hutoa taswira ya anaowaongoza..
ila bahati mbaya hatukumchagua sisi..
kizungu kilichompa elimu hakijui..
sheria hata za ofisi yake hazijui..
ushauri hataki..
toba toba..
tutaogopa hata kujitambulisha nje,maana kiongozi hutoa taswira ya anaowaongoza..
ila bahati mbaya hatukumchagua sisi..