Akiachana nao itaonekana wazi amekurupuka, ili kuua so imebidi amtoe kafara PosiKwanini asiachane na Abdalah Bulembo au Kabudi ambao hawajaapa kuwa wabunge?, nadhani hao bado wapo kwenye process ya kuwa wabunge, hawajawa wabunge mpaka watakapo apa.
Pole sana mpiga dili!eti wanapewa uongozi watu wanaofanya majaribio ya kuongoza..
kizungu kilichompa elimu hakijui..
sheria hata za ofisi yake hazijui..
ushauri hataki..
toba toba..
tutaogopa hata kujitambulisha nje,maana kiongozi hutoa taswira ya anaowaongoza..
ila bahati mbaya hatukumchagua sisi..
Kwahiyo tatizo ni kukiri makosa? Yeye akubali kukiri kosa halafu atimue msaidizi wake, itakuwa imeeleweka kuwa ameshauriwa vibayaAkiachana nao itaonekana wazi amekurupuka, ili kuua so imebidi amtoe kafara Posi
Mkuu Chige, hii ni number nyingine, ila ingekuwa issue ni realization ya kuchemsha, angetengua uteuzi wa mmoja wa hao wateule wapya kabla hajaapishwa.
Ni kweli Dr. Posi atamwandikia Spika barua ya kujiuzulu, hivyo wabunge wanaume wa kuteuliwa wabakie 5, ila watu msianze kushangilia kwa kudhania atateua wabunge wanawake 3 ili watimie watano, anaweza kuteua au anaweza asiteue simply kwa sababu Tanzania hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa na vigezo vya kuteuliwa.
Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! .
Paskali
Anajua akifanya hivyo hatimae atakuwa ametoa ujumbe hadharani wa kukiri kwamba alivurunda!Kwanini asiachane na Abdalah Bulembo au Kabudi ambao hawajaapa kuwa wabunge?, nadhani hao bado wapo kwenye process ya kuwa wabunge, hawajawa wabunge mpaka watakapo apa.
Hivi ninyi mnaowalaumu washauri wa Rais hampati hisia kuwa hamuwatendei haki ; kama watu wazima pambanueni silka, haiba, na hata carible ya mkuu hivi kama hivyo ndivyo alivyo jukwaani hadharani je huko kwenye vikao Vya faragha?Kwa aibu kama hii lazima mawaziri, makatibu wakuu na watumishi waandamizi wa serikali wabaki midomo wazi. Hivi huyu Rais ana washauri?
Mkuu Chaque Number, sijasema kuhusu sifa tuu, nimesema sifa na vigezo, jee unavijua vigezo? , kama huvijui then naomba tuu ukubaliane na mimi kuwa hatuna wanawake wa kutosha wenye kukukidhi sifa na vigezo, wangekuwepo, wangeteuliwa. Kitendo cha kuteuliwa wanaume 6 wanawake 2, ni proof kuwa wanawake hawapo wa kutosha!.Mkuu Paskali salaam
Nasita kukubaliana na kauli yako ya mwisho kuwa Tanzania hatuna wanawake wenye sifa ya kuwa wabunge. Maana sifa ya kuwa mbunge ndio sifa kuu ya kuteuliwa kuwa mbunge. Hivi kweli mkuu Paskali ukiambiwa utafute wanawake watatu wenye sifa ya kuwa wabunge utakosa nchi nzima? Hata kama ni unyanyapaaji huu umezidi. Hata kama mhe amejipambanua kuteua wasomi, je ukiambiwa kutafuta PhD holders wanawake watakosa kufika watano? Mbona tunawaona vyuoni wakifundisha? Mbona kuna wanawake wengi sana wenye Masters tunawafahamu. Kama haitoshi, kwa mujibu wa katiba ya JMT sifa ya kuwa mbunge sio Masters/PhD/Prof bali ni kujua kusoma na kuandika.
Hivyo, ni kusema kwa TZ nzima hakuna wanawake 10 wanaojua kusoma na kuandika?
Kwanini usingeweka hapa hizo Ibara ili watu wajiongeze?! Wengine tunatumia nokia torch zisizo na uwezo wa ku-download pdf files! Na kama ni hardcopy zipo accessible kwa wachache!!tuisome na ibara ya 36 (1),(2) na(3).....ya katiba JMT...
Ndugu Pasco sidhani kama ni sahihi kuthibitisha kauli yako ya kuwa hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa za kuteuliwa kuwa wabunge kwa premises kwamba mpaka sasa wameteuliwa wawili tu dhidi ya wanaume sita.Mkuu Chaque Number, sijasema kuhusu sifa tuu, nimesema sifa na vigezo, jee unavijua vigezo? , kama huvijui then naomba tuu ukubaliane na mimi kuwa hatuna wanawake wa kutosha wenye kukukidhi sifa na vigezo, wangekuwepo, wangeteuliwa. Kitendo cha kuteuliwa wanaume 6 wanawake 2, ni proof kuwa wanawake hawapo wa kutosha!.
Paskali
Nilishaongea jambo sawa na hili kwenye post #34!!!
Kwa kifupi, MANTIKI ya Ibara 67 (2) (a) ni tofauti na Ibara ya 71 (1). Wakati Ibara ya 67 (2) inazungumzia sifa za mtu kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa mbunge (na kinyume chake kutoteuliwa/kutochaguliwa) Ibara ya 71 (1) inazungumzia ukomo wa bunge na ubunge wa mtu!
Suala la Dr. Possi halina uhusiano na sifa za kuchaguliwa/kuteuliwa kuwa mbunge bali linahusiana na kukoma kuwa mbunge!
Linapokuja suala la uteuzi, ubunge wa mtu utakoma endapo tu muhusika ameteuliwa kuwa Rais au Makamu wa Rais kinyume chake, labda awe ametenda baadhi ya mambo yaliyoanishwa kwamba yanaweza kukomesha ubunge wa mtu!
Na ndio maana, Ibara ya 71 ika-conclude kwamba:
Wabunge wakuteuliwa hawana chama mkuu.Vizuri...! Swali litakuwa Je, Dr. Possy aliteuliwa kutokana na uamachama wake CCM au vinginevyo? Kama uteuzi wake umeetokana na u-CCM wake basi itabidi wamvue uanachama ndipo anaweza kupoteza sifa za kuwa mbunge vinginevyo; atabaki kuwa mbunge!!!
Kama ndivyo basi hafukuziki... labda ajiuzuru au kufanya mambo yanayoweza kumuondolea sifa ya kuendelea kuwa mbunge!Wabunge wakuteuliwa hawana chama mkuu.
Ni ukweli mtupu...! Hana dalili na wala haoneshi dalili japo kwa mbali kwamba ni mtu anayekuwa standby kusubiri ushauri hata ule ulie kinyume na maono yake!Hivi ninyi mnaowalaumu washauri wa Rais hampati hisia kuwa hamuwatendei haki ; kama watu wazima pambanueni silka, haiba, na hata carible ya mkuu hivi kama hivyo ndivyo alivyo jukwaani hadharani je huko kwenye vikao Vya faragha?
Tasfida mujarabu!hizo ndizo akili zinazoitwa za mwendo kasi...na mbaya zaidi mwenye akili hizo ndiye tuliye mkabidhi panga atufyekee kichaka...kichaka ambacho ndani yake kuna miti tunayoitegemea ya dawa...nadhani miti yote ata ile yenye kutoa matunda ivi sasa imekatwa na kuharibiwa vibaya.