Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,589
- 3,639
Sawa MKUU....mimi naomba kufahamishwa.....!!
Je mheshimiwa POSSI....kapanda CHEO ama kashushwa..??! Maana ninavyojua huyu bwana alikuwa ni MBUNGE na WAZIRI pia....na JE?
Huyu bwana POSSI tuamini kwamba ameshindwa kweli kutumikia nafasi alizo kuwa nazo (Ubunge na Uwaziri) na atamudu kuwajibika katika nafasi ya UBALOZI....!!? naomba mawazo yenu wana JF....
MIMI IMENICHANGANYA HII....!!