Q & A ya Mhe. Rais & Mhe. Abdallah Possi

Q & A ya Mhe. Rais & Mhe. Abdallah Possi

Jichukulie carton moja la soda kubwa ukafurahie na familia weekend hii, mwambie mwenye duka akuongeze na box tatu za juice nitamlipa.
Majibu swafi kabisa haya.
Kama ni hivyo basi logically na Rais angeonekana ana busara zaidi kama, kupitia bunge, angesimamia mabadiliko ya kisheria kuondoa ulazima wa rais kuteua wanawake 5 kati ya hiyo idadi ya wabunge 10 ambayo ana mamalaka kuwateua badala ya kujaribu kuvunja utaratibu pasipo mabadiliko halali ya kisheria.

Tukiachana na hilo, siamini kama hakuna wanawake 5 wenye sifa kujaza hizo nafasi 5 walizotengewa. Unataka kutuambia hakuna mwanamke mwenye kiwango cha uelewa au elimu kama aliyonayo Dr. Mpango (mbunge wa kuteuliwa), ambaye amedhihirisha kwa jinsi gani alivyo janga kwenye nafasi yake aliyonayo mpaka sasa? Wapo wengi tu. Isitoshe, awamu hii ya Magufuli unataka mwanamke mwenye sifa na vigezo wa nini kama style yenyewe ya utumishi ni ya kujikomba na kufanya kile mkuu anataka tu?

Mimi ni mwanaume, lakini nadhani hoja yako kuhusu wanawake imejikita kwenye misingi ya kimila na kihisia zaidi kuliko ukweli. By the way, dharau dhidi ya uwezo wa kiakili wa mwanamke, hata asome vipi, haipo kwa wakina Mayalla tu, bali ipo kwa makabila mengi ya Tanzania.
 
Mkuu Chige, hii ni number nyingine, ila ingekuwa issue ni realization ya kuchemsha, angetengua uteuzi wa mmoja wa hao wateule wapya kabla hajaapishwa.

Ni kweli Dr. Posi atamwandikia Spika barua ya kujiuzulu, hivyo wabunge wanaume wa kuteuliwa wabakie 5, ila watu msianze kushangilia kwa kudhania atateua wabunge wanawake 3 ili watimie watano, anaweza kuteua au anaweza asiteue simply kwa sababu Tanzania hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa na vigezo vya kuteuliwa.

Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! .

Paskali
Hahahaaa!! Sasa Mkuu wangu Paskal, baba akikosea hawezi kuomba msamaha lakini kama wanafamilia ni waelewa, watajua hapa baba kaomba msamaha in other around lakini matoto majinga; hayatajua!

Ni bora baba aeleweke na werevu kwamba ameomba msamaha kuliko kueleweka na wajinga manake hawa wajinga wanaweza kwenda nje na kutangaza kwamba "baba ameomba msamaha!"

Hivyo basi, Mkulu asingeweza kutengua uteuzi wa wale wapya kwa sababu kufanya hivyo ilikuwa ni kuwajulisha hata watoto wajinga kwamba "baba enu nimechemka....!"

Kwamba tusishangalie kudhani anaweza kuteua wanawake... hiyo haidhuru manake sidhani kama mjadala uliegemea "kwanini hakuteua wanawake!" Bali uliegemea kwenye ubanangaji wa makusudi wa katiba!

Kama hatateua hadi 2020 bado hatakuwa amevunja kifungu chochote kwa sababu katiba haisemi "miongoni mwa atakaoteua, angalau nusu yake wawe wanawake" bali inasema "miongoni mwa hao 10, angalau 5 wawe wanawake!" Kwa maana nyingine, asipoteua mwanamke ni kwamba atakuwa amemaliza teuzi zake unless aendeleze huu mchezo wa sasa hata kama nin other way round!
 
Na wewe una akili za Chato tu, nani amekwambia watu hawafanyi kazi humu mpaka uwasisitizie wafanye kazi?
mwanaume wa kweli anafanya kazi sio lawama lawama kila kona fanyeni kazi hii ninawamu nyingine ya uongozi,msikariri awamu zilizopita maana pia hizo zilizopita mlitukana kila aina ya tusi,baba Magu fanya kazi tupo nyuma yako kila mtu ale usawa wa kamba yake
 
Aisee hii kweli siasa naomba niulize tu,kwa mfano Dr. Possy akagoma kujiuzulu vipi hatma ya mkulu??
Vizuri...! Swali litakuwa Je, Dr. Possy aliteuliwa kutokana na uamachama wake CCM au vinginevyo? Kama uteuzi wake umeetokana na u-CCM wake basi itabidi wamvue uanachama ndipo anaweza kupoteza sifa za kuwa mbunge vinginevyo; atabaki kuwa mbunge!!!
 
Mkuu Chige, hii ni number nyingine, ila ingekuwa issue ni realization ya kuchemsha, angetengua uteuzi wa mmoja wa hao wateule wapya kabla hajaapishwa.

Ni kweli Dr. Posi atamwandikia Spika barua ya kujiuzulu, hivyo wabunge wanaume wa kuteuliwa wabakie 5, ila watu msianze kushangilia kwa kudhania atateua wabunge wanawake 3 ili watimie watano, anaweza kuteua au anaweza asiteue simply kwa sababu Tanzania hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa na vigezo vya kuteuliwa.

Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! .

Paskali
Paskali nini kimekukuta mkuu, sio wewe yuleee, lakini kaza msuli atafutae hachoki
 
FB_IMG_1484820358597.jpg
 
Mkuu Chige, hii ni number nyingine, ila ingekuwa issue ni realization ya kuchemsha, angetengua uteuzi wa mmoja wa hao wateule wapya kabla hajaapishwa.

Ni kweli Dr. Posi atamwandikia Spika barua ya kujiuzulu, hivyo wabunge wanaume wa kuteuliwa wabakie 5, ila watu msianze kushangilia kwa kudhania atateua wabunge wanawake 3 ili watimie watano, anaweza kuteua au anaweza asiteue simply kwa sababu Tanzania hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa na vigezo vya kuteuliwa.

Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! .

Paskali
Siyo hatuna wanawake wakuteuliwa rais yuko frustrated na ushauri wenye nakisi ya weledi kutoka kwa wasaidizi wake.
Watu wanaomzunguka rais ama wanamshauri vibaya au wanamwogopa kumpa ishauri sahihi au yawezekana hashauriki au wanamapungufu makubwa kitaaluma na weledi au wanamdhalilisha makusudi, yote yanaweza kuwa majibu
 
Anaweza kugoma kujiuzulu lakini akafukukuzwa uanachama wa fisiem... au tu ikatokea bahati mbaya akafungwa gerezani kwa miezi 12 au akatangulia mbele ya haki...

Kujiuzulu ndio busara na njia nzuri zaidi ya kuwa balozi mwema, tena mlemavu anayesubiria kupangiwa kituo cha kazi.
Au akapotea tu kama sindano kwenye mchanga
 
Kuhusiana na mada yako kuhusu sifa za mbunge kutokuwa mbunge tena soma hii ibara ya Katiba;

71(1)(a) ikiwa litatokea jambo lolote ambalo, kama asingekuwa Mbunge lingemfanya asiwe na sifa za uchaguzi au apoteze sifa za uchaguzi au asiweze kuchaguliwa au kuteuliwa kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.

Sasa swali la kujiuliza, ni jambo gani ambalo linamfanya mtu asiwe na sifa ya kuwa mbunge?
Soma ibara hii ya Katiba;

67(2)(g) ikiwa mtu huyo ameshika madaraka ya afisa mwandamizi katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, isipokuwa madaraka ambayo Rais aweza au anatakiwa kukabidhi kwa Mbunge kwa mujibu wa Katiba hii au sheria iliyotungwa na Bunge;

Je, Balozi ni afisa mwandamizi katika utumishi wa serikali ya Tanzania?

Kama balozi ni afisa mwandamizi wa serikali basi kuteuliwa kwa Possi kuwa balozi na kukubali uteuzi huo kunamfanya automatically kukosa sifa ya kuwa mbunge bila hata ya kuandika barua ya kujiudhuru.

Hii ni haina tofauti na mbunge akihukumiwa kwenda gerezani kwa miezi zaidi ya sita kwa kosa linaloambatana na utovu wa uaminifu. Huyu anakuwa amekosa sifa ya ubunge na kwa maana hiyo, barua ya kujiudhuru ni non-essential.
Jambo jema ni kwamba, kwa utetezi wako tayari unakiri pasi na shaka yoyote kwamba uteuzi wa Dr. Possy kuwa Balozi ni janja ya Mheshimiwa kukufuta kosa lake la kuteua wanaume 6 kinyume cha katiba!!!

Sote sisi ni watu wazima kwahiyo kausha tu; wala haina haja kusema "ndiyo, nimekubali hii ni njia ya mheshimiwa kukiri alichemka!" Kiasi cha kufanya hata watoto humu JF wakajua kwamba umekiri!!!

Tukija kwenye hoja, Ibara uliyotumia siyo ya mtu KUKOMA kuwa mbunge bali inazungumzia sifa za mtu kuweza kuchaguliwa au kutochaguliwa kuwa mbunge!
67(2)(g) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge-
ikiwa mtu huyo ameshika madaraka ya afisa mwandamizi katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, isipokuwa madaraka ambayo Rais aweza au anatakiwa kukabidhi kwa Mbunge kwa mujibu waKatiba hii au sheria iliyotungwa na Bunge
Lakini ukomo wa mtu kuwa mbunge umetajwa kwenye Ibara ya 71 kama nilivyoiweka hapo juu!!!
 
Mkuu Chige, hii ni number nyingine, ila ingekuwa issue ni realization ya kuchemsha, angetengua uteuzi wa mmoja wa hao wateule wapya kabla hajaapishwa.

Ni kweli Dr. Posi atamwandikia Spika barua ya kujiuzulu, hivyo wabunge wanaume wa kuteuliwa wabakie 5, ila watu msianze kushangilia kwa kudhania atateua wabunge wanawake 3 ili watimie watano, anaweza kuteua au anaweza asiteue simply kwa sababu Tanzania hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa na vigezo vya kuteuliwa.

Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! .

Paskali
We Nawe! Jana tumekutetea kule ulipokuwa unatwangwa mawe kwa ajili ya hizo !Sifa na Vigezo! Zako!! Leo umezihamishia huku! Wafwa
 
Kama ni hivyo basi logically na Rais angeonekana ana busara zaidi kama, kupitia bunge, angesimamia mabadiliko ya kisheria kuondoa ulazima wa rais kuteua wanawake 5 kati ya hiyo idadi ya wabunge 10 ambayo ana mamalaka kuwateua badala ya kujaribu kuvunja utaratibu pasipo mabadiliko halali ya kisheria.

Tukiachana na hilo, siamini kama hakuna wanawake 5 wenye sifa kujaza hizo nafasi 5 walizotengewa. Unataka kutuambia hakuna mwanamke mwenye kiwango cha uelewa au elimu kama aliyonayo Dr. Mpango (mbunge wa kuteuliwa), ambaye amedhihirisha kwa jinsi gani alivyo janga kwenye nafasi yake aliyonayo mpaka sasa? Wapo wengi tu. Isitoshe, awamu hii ya Magufuli unataka mwanamke mwenye sifa na vigezo wa nini kama style yenyewe ya utumishi ni ya kujikomba na kufanya kile mkuu anataka tu?

Mimi ni mwanaume, lakini nadhani hoja yako kuhusu wanawake imejikita kwenye misingi ya kimila na kihisia zaidi kuliko ukweli. By the way, dharau dhidi ya uwezo wa kiakili wa mwanamke, hata asome vipi, haipo kwa wakina Mayalla tu, bali ipo kwa makabila mengi ya Tanzania.
Pascal Mayalla tena
 
Hivi ni kweli hata kijo bisimba hafai au yule siyo kada japo siamini Kama anaweza kukubali uteuzi wa pogba
 
Kwa aibu kama hii lazima mawaziri, makatibu wakuu na watumishi waandamizi wa serikali wabaki midomo wazi. Hivi huyu Rais ana washauri?
 
Nadhani, kwa busara tu, akishapangiwa kituo cha kazi anakuwa amejivua ubunge.....mfano Dr migiro alipokwenda UN
 
Back
Top Bottom