Dah! Kongosho ,Kama ni hivyo kuna kero kubwa sana
Na wanaougua haya maradhi ni wengi sana
Tatizo hawajui na wanaita eti kupenda.
Mpaka mtu aje ajue kuwa ni mgonjwa muda unakua umepita na anakua ameshaumia vya kutosha!
Kuna kundi la watu wanajulikana kama 'Psychopath' kutokana na hali za akili zao.
Bahati mbaya zaidi hutokea pale anapompenda mtu, hataki kuelewa kama na aliyempenda ana mpenda amI lah.
Huona ni haki yake kumpenda, na in case umemkataa huwa wanakuwa na aina fulani obsession.
Kuna aliyewahi pitia uzoefu huu? Ama una mchango wowote kuhusiana na hili, kwa http://Braidingallery.net, ama psychopath aliyependa?
Hebu tuchanganue kidogo
Swali la nyongeza: hivi hata wanaovuta bhange ni ma -psychopath wa aina fulani?
Au niulize, unajuaje mtu anayekupenda ni 'pyschopath'?
ha haaaaaaaaaaaa, mlongo wangu mambo ya kutoa siri za dada mkubwa siyo mazuri.....natamani nisiwaze hiki unachonilazimisha kuwaza hapa!ah sijui nifanyaje ujue!:confused2::confused2::confused2:
ngoja:A S 100:
nimwite BADILI TABIA na FP wanisaidie kuchangia huu uzi!tena FP una mhusu sana huu!
ha haaaaaaaaaaaa, mlongo wangu mambo ya kutoa siri za dada mkubwa siyo mazuri.....
anyway, yule ni mstaarabu sana, anasubiria tu kimya kimya, hajawahi kuniletea fujo zaidi ya kuniambia atasubiri tu hata kama tutakutana kwenye maisha mengine
huyo wangu naomba nisimuweke kwenye kundi la psychopaths, hana characteristics za psychopaths. ni kwamba hajakubali tu matokeo ya kuachwa lakini hajawahi kunitishia wala kunifanyia fujo ya aina yoyote. wish yake ni nirudi kwake, lakini anasubiria kimya kimyaKuna psychopath mstaarabu??
Hebu share kidogo niweze kuelewa
huyo wangu naomba nisimuweke kwenye kundi la psychopaths, hana characteristics za psychopaths. ni kwamba hajakubali tu matokeo ya kuachwa lakini hajawahi kunitishia wala kunifanyia fujo ya aina yoyote. wish yake ni nirudi kwake, lakini anasubiria kimya kimya
na ndo ninachomsaidia kwa sasa, kutaka a-move on.......,Okay, kama hajakubali kuachwa tu inawezekana sio psychopath, ila kaamua kuwa zombie-sosi lara 1
Ila anaweza kuwa na 'obsession' tu
Ila hata obsession inasema kitu fulani kuhusu hali ya akili ya mtu
Maana huwa wanasema, kwa hali ya kawaida mtu ukiachwa inabidi kukubali matokeo na ku-move on
na ndo ninachomsaidia kwa sasa, kutaka a-move on.......,
mwenzake sasa najiona ni mtu mzima, yeye kanizidi miaka 2, si anakaribia uzee?
namwambia atalea wajukuu hanielewi, lol!
ha haaaaaaaaaaaa rafiki mambo gani ya kubanana haya, mimi hata sijui kinachomfanya ashindwe ku-move on.True, msaidie a-move on kwa kweli
Uteja wa uzombie sio mzuri
Kama unaweza msaidia msaidie kwa kweli
Ila kuwa makini, wakati mwingine kukaa na zombie wako karibu kunampa matumaini na ndio anashadadia kukupata zaidi.
Kuna kitu ntaomba unijibie PM, ulimpa nini:glasses-nerdy: anachoshindwa kukisahau???
NOTE: Nimeelewa kwa nini ulimshadadia zombie wangu, kumbe na weye unae?:A S angry:
ha haaaaaaaaaaaa rafiki mambo gani ya kubanana haya, mimi hata sijui kinachomfanya ashindwe ku-move on.
ukweli nipo naye jirani kumsaidia hili..... kuna kipindi niliona anajitahidi kweli maana mpaka akaniletea binti home ambaye nilimpenda sana, na nikamwambia kuwa ni binti ambaye ni wife material....... baada ya muda, yule binti akaja kwangu kuniambia ameshindwa kuendelea, kisa anaona mwenzie mawazo yapo mtaa wa tatu tuuuuuuuuuuuuuu, kajitahidi kashindwa..... nilipomuita mtu chemba kuongea naye eti anasema hawezi kuondoa mawazo yake kwangu, kwa hiyo bidada kama anataka aendelee naye akiwa anajua huo ukweli....... nilimwambia huo ni ubinafsi na hata ningekuwa mimi ningesepa.....
Natoa mfano wa psychopath,psychopath ugomvi wa Jana anauendeleeza mpaka basi ,Mfano umefumaniwa atawaambia watu wote na atakuwa anakulumbusha kila siku, Haya psychopath ni wale wanaume wanaowategemea wanawake na wakiachwa wanahakikisha wamekudestroy your job reputation and relationship with others.Anapiga simu kazini kwako na kuwashutumu watu wambea na waongo.psychopath have capable of murder(kwa waganga na hata wale wanaosema wameokoka kuwaombea waume zao .wale wanaoachwa na kuwasha Magari moto nyumba moto na kukutukana hadharani bila kujali. Mano mkubwa ni Facebook Mtu anaweka picha Zake na anataka ucomment .why ?they need praise .
Hii kitu ni mbaya sana. mimi nimekutana nayo..Ilifika kipindi kukawa na ugomvi mbele za watu na hadi kutishiana kuuana..ilikuwa balaa kwa kweli...Kuna kundi la watu wanajulikana kama 'Psychopath' kutokana na hali za akili zao.
Bahati mbaya zaidi hutokea pale anapompenda mtu, hataki kuelewa kama na aliyempenda ana mpenda ama lah.
Huona ni haki yake kumpenda, na in case umemkataa huwa wanakuwa na aina fulani obsession.
Kuna aliyewahi pitia uzoefu huu? Ama una mchango wowote kuhusiana na hili, kwa aliyependwa, ama psychopath aliyependa?
Hebu tuchanganue kidogo
Swali la nyongeza: hivi hata wanaovuta bhange ni ma -psychopath wa aina fulani?
Au niulize, unajuaje mtu anayekupenda ni 'pyschopath'?
Hii kitu ni mbaya sana. mimi nimekutana nayo..Ilifika kipindi kukawa na ugomvi mbele za watu na hadi kutishiana kuuana..ilikuwa balaa kwa kweli...
Usiombee mwanaume mwenye mke apate kimada mwenye utindio wa ubongo ni inshu. Kuna mmoja alikuwa na affair na secretary, kumbe secretary ana tatizo la akili...alijuta kumfahamu; akimwambia its over anasema atatangaza mitandaoni kuhusu affair yao...kaona haitoshi kuna siku alienda nyumbani kwa boss wake akamwambia hg leo anampa off yeye atakuwa mpishi. Jamaa anatoka church na wife anakuta chakula mezani, na mtoto amelala mapajani mwa secretary. alishtukaje. Mke akawa anashangaa huyu secretary mume wangu vipi mimi naona ni kichaa...mme ooooh, oooh. Mfukuze kazi anabaki oooh;(anaogopa kulipuliwa). Lakini mke hakuwa sure kama wana affair ila alishaanza kupata wasiwasi wa tabia ya kujiamini na dharau ya huyo secretary.
Mwisho wa siku ali kidnap mtoto...akaona haitoshi aka kidnap mke na kutaka kumuua...ndio jamaa ikabidi akili kuwa alikuwa na mchezo mchafu na secretary wake...ni movie lakini.