Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
Kuna kundi la watu wanajulikana kama 'Psychopath' kutokana na hali za akili zao.
Bahati mbaya zaidi hutokea pale anapompenda mtu, hataki kuelewa kama na aliyempenda ana mpenda ama lah.
Huona ni haki yake kumpenda, na in case umemkataa huwa wanakuwa na aina fulani obsession.
Kuna aliyewahi pitia uzoefu huu? Ama una mchango wowote kuhusiana na hili, kwa aliyependwa, ama psychopath aliyependa?
Hebu tuchanganue kidogo
Swali la nyongeza: hivi hata wanaovuta bhange ni ma -psychopath wa aina fulani?
Au niulize, unajuaje mtu anayekupenda ni 'pyschopath'?