sasa BADILI TABIA haya kama si majaribu ni nini!af uzi wa maana ujue huu ila sasa tattiiiizo ni haya makitu nimemeza kichwani kwangu mweh!funguka zaidi basi.
Ulifanyaje kumkwepa?
bora umekuja manake konnie ananitia kwenye kishawish na mi sitaaaki kuitiwa msuto tena nifenyejeee!
ahahahhahahhahahhahahhahah yani mweh Kongosho wantesa mie na hizi sredi zako siku hizi!dah!
... Kongosho na wengine, hivi kinyume cha huyo "psychopath" ni nini, "normal", au?!
... nauliza kwani kuna wengine huwa wanapenda sana lakini hawathubutu kuonesha upendo wao kwa wawapendao. Je, hiki ni kinyume chake?!
Nashukuru alikuwa ni miongoni mwa wale "Siwajui watokako" ........just a random guy
Ila kama ndo umezaa nae hapo lazima iwe kazi, kwa sababu watoto yule ni baba yao.
Ila saa nyengine tunatakiwa kuwa na roho ngumu, if he needs help, he needs help, sio kumsitiri kisha akadhuru wenziwe
bora umekuja manake konnie ananitia kwenye kishawish na mi sitaaaki kuitiwa msuto tena nifenyejeee!
ahahahhahahhahahhahahhahah yani mweh Kongosho wantesa mie na hizi sredi zako siku hizi!dah!
enzi zile......
Alikuwapo mmoja...... Kipindi sijaolewaaaa
Alipatafuta mpaka nyumbani kwetu......... Akapajua na kutia timu....teheteh akaomba kuzungumza na bi mkubwa
Ilibidi nimtimue vibaya sana......
Ndo nikapumua.......
ha ha , kwa nini umefikiria amezaa naye?