Psychopath Obsession . . .

Psychopath Obsession . . .

Usikate tamaa mkubwa mwenzangu,

Najua siyo kazi rahisi ila inawezekana...Na siku akijikomboa, hata wewe utapata uhuru fulani ambao hutakaa uusahau...

Kwa sababu hadi sasa inaonekana anaendelea kuonekana kama msukule wako...lol!!

Hii dunia kwa kweli ina mambo na vijimambo!

Kama ni mtu wa sala, basi usishau kumpigia novena!


Babu DC!!!
I cant wait hiyo siku ya kujikomboa, kwa kweli nitaona kama nimetua mzigo fulani hivi.
natamani naye apate wake afurahi kama ambavyo mimi nafurahi.
hapa novena huwa zinapigwa kwa kila kitu, ha haaaaaaaa, chezeya mtoto wa mission, lol! namwombeaga sana apate mchumba mwema ila sasa naona yeye kaamua kuufunga moyo wake
 
🙂 🙂 🙂, ukiona babu anajihami sana, mjukuu mtundu anamtoa jasho.

Ndo maana wengine tumestaafu salama,

Na the chapter is closed......!!

I hope umeelewa msimamo wa Babu Konie!!

Babu DC!!
 
FP, sijui niiwekeje

ila kuna watu wagumu sana kupenda
wakati mwingine huwa nalazimika kuamini labda kweli mtu anapenda mara moja katika maisha.

Huko kwa wengine inakuwa kutimiza wajibu zaidi ili uishi maisha ambayo jamii inayalewa.

Hujawahi sikia mtu anenda kufunga ndoa na hali anamlilia mtu mwingine??

Baada ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu anamzoea mwenza, lakini kiukweli moyo wake uko kwa Hamis

ndio maana babu DC huwa hataki kuelewa mahusiano kati ya mtu na Ex wake.

Imagine mtu zombie wako aoe, afu siku umeboreka unamwalika mechi ya mchangani? Hata kama hataki sijui kama atakuwa na uwezo wa kujizuia.

I cant wait hiyo siku ya kujikomboa, kwa kweli nitaona kama nimetua mzigo fulani hivi.
natamani naye apate wake afurahi kama ambavyo mimi nafurahi.
hapa novena huwa zinapigwa kwa kila kitu, ha haaaaaaaa, chezeya mtoto wa mission, lol! namwombeaga sana apate mchumba mwema ila sasa naona yeye kaamua kuufunga moyo wake
 
I cant wait hiyo siku ya kujikomboa, kwa kweli nitaona kama nimetua mzigo fulani hivi.
natamani naye apate wake afurahi kama ambavyo mimi nafurahi.
hapa novena huwa zinapigwa kwa kila kitu, ha haaaaaaaa, chezeya mtoto wa mission, lol! namwombeaga sana apate mchumba mwema ila sasa naona yeye kaamua kuufunga moyo wake

Nakuelwa mkubwa mwenzangu,

Ila kwa mtu ambaye hajamkuta, anaweza kuona kama ni upuuzi na uzezeta...

Mweke karibu na watu ambao ni objective pia ambao ataamini kwamba hawana maslahi binafsi katika issue yenu ili wampe somo ya kikubwa.....Nyote mnahitaji hatimaye kuwa huru!!

Unaweza kukutana wakati wewe unaomba jamaa apate mtu wake, yeye mwenye anakuombea mabaya ili siku moja uwe single tena aweze kujibebea....

Ila jamaa anao moyo wa aina yake....how can you wait for 13 full years as if dunia imefika ukomo!!

Babu DC!!
 
🙂 🙂 🙂, ukiona babu anajihami sana, mjukuu mtundu anamtoa jasho.


Hapana Konie,

Ni kutenda haki tu...wewe ungependa uwe kama huyo Zombie wa @FP??

Ukizingatia watu wengine hatuna huruma kabisa when it comes kwenye kulinda nadhiri!!

Babu DC!!
 
FP, sijui niiwekeje

ila kuna watu wagumu sana kupenda
wakati mwingine huwa nalazimika kuamini labda kweli mtu anapenda mara moja katika maisha.

Huko kwa wengine inakuwa kutimiza wajibu zaidi ili uishi maisha ambayo jamii inayalewa.

Hujawahi sikia mtu anenda kufunga ndoa na hali anamlilia mtu mwingine??

Baada ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu anamzoea mwenza, lakini kiukweli moyo wake uko kwa Hamis

ndio maana babu DC huwa hataki kuelewa mahusiano kati ya mtu na Ex wake.

Imagine mtu zombie wako aoe, afu siku umeboreka unamwalika mechi ya mchangani? Hata kama hataki sijui kama atakuwa na uwezo wa kujizuia.
ni kweli rafiki huwa kuna one love, na ukishaipata utajua tu maana unajisikia tofauti sana na koooteee ulikopita. mpaka uipate hiyo love ndo utajua tofauti, otherwise kila mtu sawa tu
 
it's crazy kusubiri mtu for 13 yrs.

Lakini babu kuna mtu mmoja ambaye nafasi yake moyoni haiwezi chukuliwa na mtu.

Ni yake, na yake peke yake.

Hata utamani vipi atoke, anakuwepo tu, utamsahau hata miezi 6, kuna siku kitu kitakukumbusha na unajikuta unatabasamu peke yako.

Kuna watu wanapata bahati ya kuingia mvunguni mwa moyo wa mtu.

Its crazy though!
Nakuelwa mkubwa mwenzangu,

Ila kwa mtu ambaye hajamkuta, anaweza kuona kama ni upuuzi na uzezeta...

Mweke karibu na watu ambao ni objective pia ambao ataamini kwamba hawana maslahi binafsi katika issue yenu ili wampe somo ya kikubwa.....Nyote mnahitaji hatimaye kuwa huru!!

Unaweza kukutana wakati wewe unaomba jamaa apate mtu wake, yeye mwenye anakuombea mabaya ili siku moja uwe single tena aweze kujibebea....

Ila jamaa anao moyo wa aina yake....how can you wait for 13 full years as if dunia imefika ukomo!!

Babu DC!!
 
FP, sijui niiwekeje

ila kuna watu wagumu sana kupenda
wakati mwingine huwa nalazimika kuamini labda kweli mtu anapenda mara moja katika maisha.

Huko kwa wengine inakuwa kutimiza wajibu zaidi ili uishi maisha ambayo jamii inayalewa.

Hujawahi sikia mtu anenda kufunga ndoa na hali anamlilia mtu mwingine??

Baada ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu anamzoea mwenza, lakini kiukweli moyo wake uko kwa Hamis

ndio maana babu DC huwa hataki kuelewa mahusiano kati ya mtu na Ex wake.

Imagine mtu zombie wako aoe, afu siku umeboreka unamwalika mechi ya mchangani? Hata kama hataki sijui kama atakuwa na uwezo wa kujizuia.

Haki ya nani Kongosho,

Hakuna watu wananikera kama ma-Ex...

Unakuta mtu aliondoka kwa kujishaua, sasa wakati unapumzika na mzee mwenzio anaanza kulegeza macho, huku akija na mistari ya ajabu ajabu eti wewe ndiye ulikuwa chaguo la Mungu.....Huwa natamani kuwatemea mate, tena yale yenye makohozi!!

Ndo maana nimeguswa na huyu Zombie wa @FP...na wakati huo najiweka kwenye nafasi ya mmiliki wa sasa...

Natamani nisijue issue kama hiyo maisha yangu yote....Nikiliona Zombie lako naweza kuliitia mwizi watu wakalipiga kiberiti ili maandiko yafikie tamati.....

Mie naomba mseme mengine ila msinambie kabisa habari ya ma-Ex!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ni kweli, sasa tabu inakuja pale one love inapoponyoka.

Hapo ndio baadhi ya watu hubadili wapenzi kama nguo akisaka penzi lenye uzito ule ule.
Anajikuta kajaza treni na hajaambua kitu.

ni kweli rafiki huwa kuna one love, na ukishaipata utajua tu maana unajisikia tofauti sana na koooteee ulikopita. mpaka uipate hiyo love ndo utajua tofauti, otherwise kila mtu sawa tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakuelwa mkubwa mwenzangu,

Ila kwa mtu ambaye hajamkuta, anaweza kuona kama ni upuuzi na uzezeta...

Mweke karibu na watu ambao ni objective pia ambao ataamini kwamba hawana maslahi binafsi katika issue yenu ili wampe somo ya kikubwa.....Nyote mnahitaji hatimaye kuwa huru!!

Unaweza kukutana wakati wewe unaomba jamaa apate mtu wake, yeye mwenye anakuombea mabaya ili siku moja uwe single tena aweze kujibebea....

Ila jamaa anao moyo wa aina yake....how can you wait for 13 full years as if dunia imefika ukomo!!

Babu DC!!
ha haaaaaaaaa, babu bwana, dunia haijafikia ukomo, lol!
mwenzio ndani ya hiyo 13 years ameshajaribu sana kutafuta replacement imeshindikana....
na mimi nimejitahidi sana kumsaidia, haijazaa matunda.
nilishajitahidi kuongea na best friend wake anieleze kipi haswa kinachosumbua, anasema eti ni mapenzi tuuuuuuuuuu....
sasa sijui cha kufanya, ujue jamaa anatia huruma ujue...... ndo maana nikakuambia namwonea huruma......
na kinachonifanya nimwonee huruma jamaa ni harmless, siyo msumbufu kabisa.... yeye anachodai tu ni kuwa he will keep on waiting, mpaka lini, haijulikani
 
it's crazy kusubiri mtu for 13 yrs.

Lakini babu kuna mtu mmoja ambaye nafasi yake moyoni haiwezi chukuliwa na mtu.

Ni yake, na yake peke yake.

Hata utamani vipi atoke, anakuwepo tu, utamsahau hata miezi 6, kuna siku kitu kitakukumbusha na unajikuta unatabasamu peke yako.

Kuna watu wanapata bahati ya kuingia mvunguni mwa moyo wa mtu.

Its crazy though!

Ndo maana ukasema kuwa ni crazy, na tena ongeza kuwa ni bhange kabisa...

Kama anaona hawezi kumpata huyo, kwa nini asikope mahali maisha yakaenda?

Ona sasa linakaribia kufa na mayai tumboni.....why was he born in the first place, if has now decide to ruin his entire life chasing shadows??

Napata shida kumwelewa kwa kweli!!

Babu DC!!!
 
babu DC, najua msimamo wako kwa ma-EX
na siwezi jaribu kuku-convive otherwise, maana hakuna mwalimu mzuri wa maisha kama experience.

Sijawahi sumbuliwa na Ex kabisa, labda ndio maana sioni uzito saana.

Kuhusu zombie wa FP, ni bora aoe ili amweke FP huru.
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaa, babu bwana, dunia haijafikia ukomo, lol!
mwenzio ndani ya hiyo 13 years ameshajaribu sana kutafuta replacement imeshindikana....
na mimi nimejitahidi sana kumsaidia, haijazaa matunda.
nilishajitahidi kuongea na best friend wake anieleze kipi haswa kinachosumbua, anasema eti ni mapenzi tuuuuuuuuuu....
sasa sijui cha kufanya, ujue jamaa anatia huruma ujue...... ndo maana nikakuambia namwonea huruma......
na kinachonifanya nimwonee huruma jamaa ni harmless, siyo msumbufu kabisa.... yeye anachodai tu ni kuwa he will keep on waiting, mpaka lini, haijulikani


Yaani nimejikuta nasonya kwa hasira vile,

Hivi kuna mtu kweli katika dunia hii ameumbwa bila button ya plan B??

Huyu hata huko kazini atakuwa mtu wa ajabu kwa sababu hawezi kuwa flexible....

Binafsi sijawahi kupenda namna hiyo au tuseme kuwa sijui kupenda....

Tukipeana mabega tu...na historia yako imeishia hapo......ila sasa ndo baadhi wanarudi na ujinga wao kumsumbua Babu...


Uzuri ni kwamba kwa Babu wamepiga wrong number...

Huyo jamaa mwambie aache utani....lol!!

Babu DC!!
 
it's crazy kusubiri mtu for 13 yrs.

Lakini babu kuna mtu mmoja ambaye nafasi yake moyoni haiwezi chukuliwa na mtu.

Ni yake, na yake peke yake.

Hata utamani vipi atoke, anakuwepo tu, utamsahau hata miezi 6, kuna siku kitu kitakukumbusha na unajikuta unatabasamu peke yako.

Kuna watu wanapata bahati ya kuingia mvunguni mwa moyo wa mtu.

Its crazy though!
ila mapenzi ya hivi yananoga yawe two way, siyo unaachwa peke yako.....
labda niseme tu ukweli, huyu jamaa alikuwa anajua nampenda sana......saana lakini yeye aka-take for granted..... akaniumiza sana.......
nilipata shida kwa muda mrefu lakini nashukuru Mungu nilichukua hiyo nafasi kuwa na break ndeefu ya mahusiano, sababu sikuwa namwamini tena mtu. nikaja kupona na kumsahau kabisa.
inawezekana anajua na mimi bado nampenda kama ambavyo nilikuwa nampenda, ndo maana anapata moyo wa kusubiri... kila ninapomwambia yalishaisha anasema haiwezekani....
 
ni kweli, sasa tabu inakuja pale one love inapoponyoka.

Hapo ndio baadhi ya watu hubadili wapenzi kama nguo akisaka penzi lenye uzito ule ule.
Anajikuta kajaza treni na hajaambua kitu.
umeona eeh! ndo maana mimi naamini sana katika break baada ya kuachana na mpenzi..... break inasaidia sana kujitambua kabla hujajishtukia umejaza treni, lol!
 
Ndo maana ukasema kuwa ni crazy, na tena ongeza kuwa ni bhange kabisa...

Kama anaona hawezi kumpata huyo, kwa nini asikope mahali maisha yakaenda?

Ona sasa linakaribia kufa na mayai tumboni.....why was he born in the first place, if has now decide to ruin his entire life chasing shadows??

Napata shida kumwelewa kwa kweli!!

Babu DC!!!
babu sasa wewe hutoi msaada, unazidi kuua kabisaaaaa. unafikiri kama anaweza kupita hapa si atajisikia vibaya.....
kwanza tuache kumzungumzia, lol! Kongosho mada ilikuwa inahusu nini vile?
 
Last edited by a moderator:
Ukiona hivyo ujue kidonda hakijapona.

Bahati nzuri ni mwanamme anaweza kuoa anytime, imagine angekuwa mwanamke athari yake ingekuwa kubwa vipi?

Kuna mahali nilisema labda anasumbuliwa na EGO. Lakini miaka 13 pia ni kitu cha kuleta hofu.

mawazo mabaya yananijia sometimes;
Asije akajifunzia hapo u-serial killer, anasubiri nini? Hadi lini? Nini kinampa nguvu ya kusubiri?

Ndo maana ukasema kuwa ni crazy, na tena ongeza kuwa ni bhange kabisa...

Kama anaona hawezi kumpata huyo, kwa nini asikope mahali maisha yakaenda?

Ona sasa linakaribia kufa na mayai tumboni.....why was he born in the first place, if has now decide to ruin his entire life chasing shadows??

Napata shida kumwelewa kwa kweli!!

Babu DC!!!
 
ila mapenzi ya hivi yananoga yawe two way, siyo unaachwa peke yako.....
labda niseme tu ukweli, huyu jamaa alikuwa anajua nampenda sana......saana lakini yeye aka-take for granted..... akaniumiza sana.......
nilipata shida kwa muda mrefu lakini nashukuru Mungu nilichukua hiyo nafasi kuwa na break ndeefu ya mahusiano, sababu sikuwa namwamini tena mtu. nikaja kupona na kumsahau kabisa.
inawezekana anajua na mimi bado nampenda kama ambavyo nilikuwa nampenda, ndo maana anapata moyo wa kusubiri... kila ninapomwambia yalishaisha anasema haiwezekani....

Kumbe alikufanyia upuuzi na kukuumiza....?

Hebu piga chini huyo mtu ili akatafute msaada somewhere else...

Labda kujua kuwa unamwonea huruma ndo maana anakimbizana na mikono yako kama fisi, hoping kwamba one day mmoja unaweza kudondoka auokote!!

Ningekuwa mie, tungeshamalizana long time!

Babu DC!!
 
he he he, asante kwa kujali

topik ya leo ni konsonat za MMu

babu sasa wewe hutoi msaada, unazidi kuua kabisaaaaa. unafikiri kama anaweza kupita hapa si atajisikia vibaya.....
kwanza tuache kumzungumzia, lol! Kongosho mada ilikuwa inahusu nini vile?
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimejikuta nasonya kwa hasira vile,

Hivi kuna mtu kweli katika dunia hii ameumbwa bila button ya plan B??

Huyu hata huko kazini atakuwa mtu wa ajabu kwa sababu hawezi kuwa flexible....

Binafsi sijawahi kupenda namna hiyo au tuseme kuwa sijui kupenda....

Tukipeana mabega tu...na historia yako imeishia hapo......ila sasa ndo baadhi wanarudi na ujinga wao kumsumbua Babu...


Uzuri ni kwamba kwa Babu wamepiga wrong number...

Huyo jamaa mwambie aache utani....lol!!

Babu DC!!
huwezi amini babu, ni mchapa kazi mzuri na anamaendelea yak mazuri sana.
si mtu ambaye anaweza kukosa mtu wa kumuoa........ kiufupi jamaa yupo fresh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom